Nakumbuka sSerikali, kupitia Wazara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, ilisema itatoa viwango vya ada kwa shule binafsi kuanzia mapema mwezi Januari, hivi sasa shule zimefunguliwa, wazazi wamelipa ada, sSerikali haijatimiza ahadi yake ya kutoa mwongozo; mwongozo ambao kama shule ingeteka kuzidisha kiwango cha ada ingepeswa kuomba kibali maalumu kutoka wizarani.
Naomba tujulishane ule mkakati umefikia wapi.
Naomba tujulishane ule mkakati umefikia wapi.