Yaani Ccm Pekee Hautastawi Ndiyo Maana Wale Wabunge 19 Wenye Makandokando Bado Wanawashikilia Mno Bila
Kujari Sheria, Taratibu Na Kanuni Zinakiukwa Hadharani
Tunabiwa Mihimili Huwa Haiingiliani Kila Mmoja Unaamua Yake Kwa Kutokuingiliwa
Ajabu , Bunge Linangoja Court Itoe Hukumu Ya Hao 19
KWA Utaratibu Ilitakiwa Chap Chap