Nawasalimu wakuu wote.
Mara nyingi nimekua nikiona watu wenye matatizo ya akili vichaa vyao hupanda zaidi wakati wa mwezi mchanga. Nimekua nikifanya pia hata uchunguzi kwa watoto wadogo kuna kitu wanaita mchango hua unawapata zaidi wakati wa mwezi mchanga.
Pia wakati huo hata kwa watu wengi ambao hawana matatizo ya kiakili unakuta hawajatulia ndio kipindi ambacho unaweza kwenda kumuuliza au kumusemesha mtu akakujibu vibaya.
Naomba kama kuna mtaalamu wa ASTROBIOLOGY aje atueleze inakua hivyo kwa sababu gani?