kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Kumekuwa na malalamiko mengi san kutoka kwa mashabiki wa wcb wakidai kuwa diamond pmoja na team yake anafanyiwa figisu na watanzania ili ashuke na sababu kibao je iz story zina ukweli au ni ndo mfa maji haishi kutaptapa.
To my side pamoja n kuwa shabiki wa wcb sioni kama ni kwl diamond anafanyiwa figisu ila yeye ndo anasababisha haya naweza nikatoa sababu mbili tatu za kuunga hoja
1.SHOW OFF
Hichi ndo kitu namba kinacho muangusha diamond pamoja na team yake. Diamond amekuwa mtu wa show off sana kial kitu anachofanya kiwe cha siri au cha kawaida ambacho hakina umuhimu wwt atapost kwny krasa zake za mitandao, hii inamshushia heshima kwa kasi sana.
2.UROPOKAJI NA KUDHALILISHA WANAWAKE
Hakuna watu wenye uwezo mkubwa wa kumfanya mwanamziki au msanii yeyote mahali popote awe star zaidi ya wanawake, wanawake wana nguvu kubwa sana kwny sanaa kwa ujumla. Sasa mshikaji wng baada ya kumpata huyu bibi wa kiganda anawaona wanawake wote wa kibongo kam mashudu tu vile, na kuonyesha dharau za wazwaz kwa mfano kitendo cha kumwita hamissa mobeto "bitch" kimeudhi watu weng sana na mm pia nikiwemo.
3.KUTAKA ASIKIKE YEYE TU NA WASANII WAKE.
Kitendo cha diamond kutoa wimbo masaa machache baada ya mpinzani wake watu weng wamektafasli kama ni ushamba na kutokujiamin na kutaka asikike yeye tu kuliko wasanii wengne. Watanzania tunatamani kuwepo na kundi kubwa la wasanii waliotoboa international kama wapopo sasa inapotokea kuzibiana liziki kwa kweli hili halikubaliki.
4.KUMUWAZA SANA MSHINDANI WAKE (KIBA) KULIKO UBORA WA KAZI.
Zamani mond alikuwa anatoa nyimbo nzuri tu na alikuwa hatumii nguvu nyiiingi kuzipromote hii ni kwa sababu alikuwa anatumia muda mwingi kuziandaa kwa umakini mkubwa lakini tokea beef lianze naona linamuchangany sana inaonekana anatumia mda mwingi sana kumuwaza mpinzani wake kuliko ubora wa kazi. Na siku mond ukiacha kumuwaza kiba ndo siku utakayokuwa huru na utaanza kutoa nyimbo nzuri zilizokamilika siyo iz ripua ripua unazotoa siku izi.
Ni hayo kwa upande wng sijui kwa upande wako unafikiriaje. Uwanja kwenu wana jf.
Sent using Jamii Forums mobile app