Je, n kweli diamond anafanyiwa figisu au yeye ndo tatizo?

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Kumekuwa na malalamiko mengi san kutoka kwa mashabiki wa wcb wakidai kuwa diamond pmoja na team yake anafanyiwa figisu na watanzania ili ashuke na sababu kibao je iz story zina ukweli au ni ndo mfa maji haishi kutaptapa.

To my side pamoja n kuwa shabiki wa wcb sioni kama ni kwl diamond anafanyiwa figisu ila yeye ndo anasababisha haya naweza nikatoa sababu mbili tatu za kuunga hoja

1.SHOW OFF
Hichi ndo kitu namba kinacho muangusha diamond pamoja na team yake. Diamond amekuwa mtu wa show off sana kial kitu anachofanya kiwe cha siri au cha kawaida ambacho hakina umuhimu wwt atapost kwny krasa zake za mitandao, hii inamshushia heshima kwa kasi sana.

2.UROPOKAJI NA KUDHALILISHA WANAWAKE
Hakuna watu wenye uwezo mkubwa wa kumfanya mwanamziki au msanii yeyote mahali popote awe star zaidi ya wanawake, wanawake wana nguvu kubwa sana kwny sanaa kwa ujumla. Sasa mshikaji wng baada ya kumpata huyu bibi wa kiganda anawaona wanawake wote wa kibongo kam mashudu tu vile, na kuonyesha dharau za wazwaz kwa mfano kitendo cha kumwita hamissa mobeto "bitch" kimeudhi watu weng sana na mm pia nikiwemo.

3.KUTAKA ASIKIKE YEYE TU NA WASANII WAKE.
Kitendo cha diamond kutoa wimbo masaa machache baada ya mpinzani wake watu weng wamektafasli kama ni ushamba na kutokujiamin na kutaka asikike yeye tu kuliko wasanii wengne. Watanzania tunatamani kuwepo na kundi kubwa la wasanii waliotoboa international kama wapopo sasa inapotokea kuzibiana liziki kwa kweli hili halikubaliki.

4.KUMUWAZA SANA MSHINDANI WAKE (KIBA) KULIKO UBORA WA KAZI.
Zamani mond alikuwa anatoa nyimbo nzuri tu na alikuwa hatumii nguvu nyiiingi kuzipromote hii ni kwa sababu alikuwa anatumia muda mwingi kuziandaa kwa umakini mkubwa lakini tokea beef lianze naona linamuchangany sana inaonekana anatumia mda mwingi sana kumuwaza mpinzani wake kuliko ubora wa kazi. Na siku mond ukiacha kumuwaza kiba ndo siku utakayokuwa huru na utaanza kutoa nyimbo nzuri zilizokamilika siyo iz ripua ripua unazotoa siku izi.

Ni hayo kwa upande wng sijui kwa upande wako unafikiriaje. Uwanja kwenu wana jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1: Show off
Hii ni hulka ya wasanii wote, hata Kiba anapenda show off, anaongea kwa nyodo

2: Uropokaji na kudharirisha wanawake
Yeye ni msanii na alikuwa anadate na wasanii wenzie, lakini ni ukweli uliowazi wasanii wa kike wa Kitanzania ni zero brain, hawana future, Zari kamrekebisha sana Diamond na kamuonyesha njia nzuri za kupita, Diamond kaiona hiyo tofauti kati ya Wanawake wasanii wa Kitanzania na huyo mama wa kiganda, Ni mabadiriko ambayo hata sisi tumeyaona
Kilichotokea ni wanawake Wasanii wa kibongo pamoja na timu zao kuanza kumchukia Diamond na kumprovoke kila kona

3: Kutaka asikike yeye tu
Hiyo ni hulka ya kila msanii, hata hao wanaoimba injili
Lakini hata vyombo vya habari vinampaisha pia kutokana na uwezo wake, can you imagine kabla ya Ally Kiba na Diamond hawajatoa nyimbo mbona kulikuwa na nyimbo za wasanii wengine zimetoka?, wewe umeshawahi kuzisikiliza?, zote zimezikwa

4: Kumuwaza sana Kiba,
Hili sina uhakika nalo, lakini wote ni wasanii na wote ni wafanya biashara, Diamond ana haki ya kuangalia mshindani wake anafanya nini?
Uzuri wa Diamond ana akili ya kulichimbua soko la mziki wa kimataifa na local, so kuna nyimbo anatoa just for Watanzania tu, na kuna anazotoa ni kwa ajili ya Watanzania na international

Kifimbocheza
 
1: Show off
Hii ni hulka ya wasanii wote, hata Kiba anapenda show off, anaongea kwa nyodo

2: Uropokaji na kudharirisha wanawake
Yeye ni msanii na alikiwa anadate na wasanii wenzie, lakini ni ukweli uliowazi wasanii wa kike wa Kitanzania ni zero brain, hawana future, Zari kamrekebisha sana Diamond na kamuonyesha njia nzuri za kupita, Diamond kaiona hiyo tofauti kati ya Wanawake wasanii wa Kitanzania na huyo mama wa kiganda, Ni mabadiriko ambayo hata sisi tumeyaona
Kilichotokea ni wanawake Wasanii wa kibongo pamoja na timu zao kuanza kumchukia Diamond na kumprovoke kila kona

3: Kutaka sisikike yeye tu

Kwa hiyo tatzo ni nn

Jamaa ni wakili nini? Umejibu hoja baada ya moja moja kwa point na kwa ufasaha saaana
 
Kutaka kuwa juu pekee yake ndicho kinamponza....

Akubali kuna kupanda na kushuka...kuzidiwa pia......

Hizo nguvu anazotumia bora atumie kutengeneza mziki mzuri...na si kutoa nyimbo kila kukicha.....timing muhimu...maana mwisho wa siku utaonekana wa kawaida
 
Mmmh ina maana watanzania wote wanamchukia mond

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio wote,
Kaka Fahamu hili, Diamond ndio Mwanamuziki pekee aliyefanya mapinduzi makubwa ya Muziki kwenye level ya kimataifa na pia local, japo AY alishafika kwenye level kubwa zaidi, lakini amekosa uelewa wa Muziki na Biashara, Diamond ametumia nafasi ndogo aliyopata nje (Dovido) kujinyanyua na akajiweka kwenye thamani anayoiona yeye anastahili

Kiba kaanza muziki zamani kabla ya Diamond na Kiba alishafika mbali kimuziki, lakini nae amekosa siri ya Muziki na Biashara, Kiba alikuwa na still bado maarufu ana database kubwa ya fans ambao wako royal kwake na hawaamini kuwa Diamond anaweza kumzidi Kiba, so Kiba hata atoe nyimbo ya hovyo hawawezi kukiri hilo na hata Diamond atoe nyimbo ya aina gani bado wataona ni singeli tu.

Hali hiyo ya fans wa Kiba imeamia pia kwenye vyombo vya habari hasa vile vya kiburudani zaidi Clouds na EFm, Clouds walishazoea kuwalalia na kuwanyonya wanamuziki kwa muda mrefu Mh Sugu ni shahidi katika hili, so kila wakimfata Diamond, Diamond anaongea biashara sio kuwanufaisha watu yaani winwin situation, kitu ambacho Clouds hawakikubali hata kidogo, na sasa wanataka kumtumia Kiba kwenye Fiesta zao hivyo ni lazima kwa njia zozote wamdunishe Diamond na kumpaisha Kiba ili wapige pesa.

Mfano angalia hili, wakati Diamond anaanza kupata umaarufu Shigongo alishamkodia Chopper kumpeleka Mbagala kutumbuiza kwa pesa kiduchu, alipomfata mara ya pili Diamond akawa yuko kibiashara zaidi, akaweka terms zake mezani Shigongo akachemsha akaanzisha chuki na Diamond ma menejimenti yake

Pia kuna issue binafsi za kimahusiano na wasanii wa Kike

All in all, Diamond ana kitu unique katika wamamuziki wote wa Tanzania waliopo sasa, anajua nini anakifanya na anajua watu wanataka nini wawe Tanzania au nje ya Tanzania, mwanamuziki AKA wa south Africa alikiri mbele ya vyombo vya habari kuwa tangu aanze muziki video zake hazijawahi kuwa na view hata laki tano, lakini alipomshirikisha Diamond katika You make me sing, ghafla alifikisha view zadi ya laki moja, na pia watu wakaanza kumsearch, mwanamuziki Jah Prezal wa Zimbabwe baada ya kumshirikisha Diamond katika WATORA MALI, akaenda kupata Yunzo yake ya kwanza kimataifa na akasema hiyo tunzo kapewa na Diamond

So Diamond ana chukiwa na Wenye vyombo vya Habari (Clouds, Efm, Shigongo), anachukiwa na Wasanii wenzie hasa wale wa zamani aliowakuta kwenye game au alioanza nao muziki, anachukiwa na wanawake hasa wenye kufuata hizi timu
 
Kosa kubwa alilofanya ni kumfukuza Q boy msafi..Q anamuona Nasibu yule wa zamani ila salam SK .Tale.Fella na wengine wanamuona Diamond..wapambe wanatabia ya kujikomba ili wapate pesa..kimuziki humuwezi Kiba liko wazi...kinachokubeba micollabo na wanaija na mivideo ya gharama ...kaa miezi sita alafu fanya come back maana mwaka huwezi kurudi tena..ciao
 
mimi nimeshindwa kukuelewa,ki music hamuwezi Kiba?? Unajua majuu kwenye channels za kiafrika Diamond anatrend sana-kuna watu wanamjua Diamond lakini hawajui kama mbongo!!! Diamond amevuka mipaka,Kiba inabidi kumtafuta kwenye social networks za bongo
 
Hamna figisu watu wamechoka tu na drama zake

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Kuna Messi na Ronaldo af kulikuwa na Blatter na Fifa so Mtajua namaanisha kati ya Ally na Naseeb.
 
Hamjui kama fiesta hakutakua na msanii wa nje endeleeni kubwatuka watu waingize mipunga mfukoni mkimchukia diamond kimpango wenu simba anawatoa jasho kila siku viuzi humu endeleeni na kampeni zenu na dada yenu mange kizuri chajiuza siompaka kampeni kibaya cha jitembeza mara paap fiesta oyeee mondi bin laden oyeeee matakataka ziiiiii!
 
Sio wote,
Kaka Fahamu hili, Diamond ndio Mwanamuziki pekee aliyefanya mapinduzi makubwa ya Muziki kwenye level ya kimataifa na pia local, japo AY alishafika kwenye level kubwa zaidi, lakini amekosa uelewa wa Muziki na Biashara, Diamond ametumia nafasi ndogo aliyopata nje (Dovido) kujinyanyua na akajiweka kwenye thamani anayoiona yeye anastahili

Kiba kaanza muziki zamani kabla ya Diamond na Kiba alishafika mbali kimuziki, lakini nae amekosa siri ya Muziki na Biashara, Kiba alikuwa na still bado maarufu ana database kubwa ya fans ambao wako royal kwake na hawaamini kuwa Diamond anaweza kumzidi Kiba, so Kiba hata atoe nyimbo ya hovyo hawawezi kukiri hilo na hata Diamond atoe nyimbo ya aina gani bado wataona ni singeli tu.

Hali hiyo ya fans wa Kiba imeamia pia kwenye vyombo vya habari hasa vile vya kiburudani zaidi Clouds na EFm, Clouds walishazoea kuwalalia na kuwanyonya wanamuziki kwa muda mrefu Mh Sugu ni shahidi katika hili, so kila wakimfata Diamond, Diamond anaongea biashara sio kuwanufaisha watu yaani winwin situation, kitu ambacho Clouds hawakikubali hata kidogo, na sasa wanataka kumtumia Kiba kwenye Fiesta zao hivyo ni lazima kwa njia zozote wamdunishe Diamond na kumpaisha Kiba ili wapige pesa.

Mfano angalia hili, wakati Diamond anaanza kupata umaarufu Shigongo alishamkodia Chopper kumpeleka Mbagala kutumbuiza kwa pesa kiduchu, alipomfata mara ya pili Diamond akawa yuko kibiashara zaidi, akaweka terms zake mezani Shigongo akachemsha akaanzisha chuki na Diamond ma menejimenti yake

Pia kuna issue binafsi za kimahusiano na wasanii wa Kike

All in all, Diamond ana kitu unique katika wamamuziki wote wa Tanzania waliopo sasa, anajua nini anakifanya na anajua watu wanataka nini wawe Tanzania au nje ya Tanzania, mwanamuziki AKA wa south Africa alikiri mbele ya vyombo vya habari kuwa tangu aanze muziki video zake hazijawahi kuwa na view hata laki tano, lakini alipomshirikisha Diamond katika You make me sing, ghafla alifikisha view zadi ya laki moja, na pia watu wakaanza kumsearch, mwanamuziki Jah Prezal wa Zimbabwe baada ya kumshirikisha Diamond katika WATORA MALI, akaenda kupata Yunzo yake ya kwanza kimataifa na akasema hiyo tunzo kapewa na Diamond

So Diamond ana chukiwa na Wenye vyombo vya Habari (Clouds, Efm, Shigongo), anachukiwa na Wasanii wenzie hasa wale wa zamani aliowakuta kwenye game au alioanza nao muziki, anachukiwa na wanawake hasa wenye kufuata hizi timu
Comment inamake sense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom