Je, na hawa dagaa wa kwenye pakiti wachungu kama klorokwini wanahifadhiwa na nini?

UZUSHI MTUPU.

HII KIKI MAKAMU WA RAIS IMEMSHUSHIA SANA HESHIMA
 
Kuna samaki wameletwa kutoka mwanza Toka mwezi wa Saba wKo ktk friji nataka mchna wa leo nikandamize mmoja je Kuna shida au niwarupe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo Samaki zinazosafirishwa nje zenu Eee haziwekewi?maana lazima zipimwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…