Je na leo Kagera kabebwa na Refa?

Game sijaangalia ila kipigo tulichopata ni kipigo safi kabisa. Ndio kwanza game yake ya kwanza tumpe muda kocha tuone atakuja na mabadiliko gani game zinazofuata.
 
Mke wa simba aitwae Yanga, Jana kam cheat Bwana yake simba kwa mchepuko Kagera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…