Je na leo Kagera kabebwa na Refa?

Je na leo Kagera kabebwa na Refa?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Yanga ikifungwa basi Refa kaibeba timu pinzani,Je na leo Kagera kabebwa na Refa?



Screenshot_20200116-001823_Facebook.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game sijaangalia ila kipigo tulichopata ni kipigo safi kabisa. Ndio kwanza game yake ya kwanza tumpe muda kocha tuone atakuja na mabadiliko gani game zinazofuata.
 
Mke wa simba aitwae Yanga, Jana kam cheat Bwana yake simba kwa mchepuko Kagera.
 
Back
Top Bottom