GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Acha ushambenga we kipwipwi.....ni mstaafu mmoja tu wabara ana yekula hizo shumbwela naye ni Mr Mkwere ....next time fanya hiphop acha majunguNa je, na hao wa huko Tanzania Visiwani (Zanzibar Isles ) na Wao Nyumba zao zote (hata zile ambazo) hazikujengwa na Serikali (kwa mujibu wa Sheria) pia huwa zinalindwa sana hata kama Mstaafu yuko zake Kijijini anakula Mananasi au Mihogo na Nyumba zake za Mjini ziko tu na Mbwa wa Kijerumani?
Na je, nao pia (Marais Wastaafu wa Tanzania Visiwani) nao pia hujaliwa, hunyenyekewa, hutembelewa, hununuliwa Gari mpya kila mwaka na Wao pia huongezewa Ulinzi na hata Gari za Misafara yao kama ilivyo kwa Marais Wastaafu wa Tanzania Bara?
Nasubiri majibu yenu ili Nielimike pia.
Ulifutwa ukiwa na kosa ( baya ) gani Mkuu?Ule Uzi umefutwa hujifunzi tu, wengine Ni wabia wa uendeshaji wa baadhi ya masuala
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Naona wa Kuwashwawashwa mnakuja.Acha ushambenga we kipwipwi.....ni mstaafu mmoja tu wabara ana yekula hizo shumbwela naye ni Mr Mkwere ....next time fanya hiphop acha majungu
Nimekuelewa mtani, mwizi siku zote huwa anahisi kuibiwaNa je, na hao wa huko Tanzania Visiwani (Zanzibar Isles ) na Wao Nyumba zao zote (hata zile ambazo) hazikujengwa na Serikali (kwa mujibu wa Sheria) pia huwa zinalindwa sana hata kama Mstaafu yuko zake Kijijini anakula Mananasi au Mihogo na Nyumba zake za Mjini ziko tu na Mbwa wa Kijerumani?
Na je, nao pia (Marais Wastaafu wa Tanzania Visiwani) nao pia hujaliwa, hunyenyekewa, hutembelewa, hununuliwa Gari mpya kila mwaka na Wao pia huongezewa Ulinzi na hata Gari za Misafara yao kama ilivyo kwa Marais Wastaafu wa Tanzania Bara?
Nasubiri majibu yenu ili Nielimike pia.
Kwa Kisununu.Natabiri Huu Uzi utafutwa