Je, na sisi "tutamuiga" rafiki ambaye "tumemuweka" madarakani na bado tunaendelea "kumpigania" kimataifa?

Je, na sisi "tutamuiga" rafiki ambaye "tumemuweka" madarakani na bado tunaendelea "kumpigania" kimataifa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesaini Sheria mpya ambayo inazuia wanafunzi wa kike wanaopata mimba kufukuzwa kwenye shule za Serikali “haitakiwi kuwafukuza Mabinti shule kisa wamepata mimba, waachwe wasome, kupitia Sheria hii ni marufuku pia kuwapa adhabu kali wanafunzi”

Millard Ayo

Hakuna Jambo baya kama Wewe ukiwa unampigania, unamtetea na unajitoa sana kwa Rafiki halafu Yeye mambo Muhimu yenye Tija anakuzidi tu.

=======

PIA, SOMA: Zimbabwe: Rais Mnangagwa apitisha sheria inayowaruhusu wasichana wajawazito kuendelea na masomo
 
Sheria ya kipuuzi Sana hiyo

Ungefafanua zaidi ili kupitia tu huo Ufafanuzi wako tuweze kujua kama Kichwani mwako zinakutosha / pengine kuna Ulakini katika Mfumo wa Akili.
 
Ungefafanua zaidi ili kupitia tu huo Ufafanuzi wako tuweze kujua kama Kichwani mwako zinakutosha / pengine kuna Ulakini katika Mfumo wa Akili.
Akili zangu zinanitosha mm mwenyewe sihitaji kipimo chako.
 
Nimecheka sana Kama chizi,ujumbe umefika panapostahili
 
Kwani Tanzania ni 'Rafiki Mshirika' wa Zimbabwe Mkuu?
Wale jamaa kila siku wanapiganiwa waondolewe vikwazo, ila kwa hili ni kukubali tu, wanadamu tumeumbwa kutofautiana mawazo.
 
Back
Top Bottom