CarloJesus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 431
- 837
Acha kupiga Puri...sio salama kwa afya ya utimamu wa mwili wako zaidi kiakili[emoji3]ndio, nakojoa, ila nikiwa napiga puli
Mkuu [emoji3] mkojo si wa aina moja jamani...(Urine yenye createnine,urea, potassium, chloride na water kujumlisha organic na inorganics)Wajumbe wanauliza mleta mada anazungumzia mkojo upi?
Mshana Kuna vitu viwili ambavyo Ni kawaida kuvikojoa...Mkojo gani
Jr[emoji769]
Mkuu hayo si ya kwetu ya Iselamagazi...unaweza kuvumbua kirusi kipya Cha Corona
Hiyo formula nzuriKwani bafu na choo si vinakuwa pua na mdomo? Me huwa nakata gogo kabisa .
Bafuni?Kwani bafu na choo si vinakuwa pua na mdomo? Me huwa nakata gogo kabisa .
Unaingia na chainsaw bafuni?Kwani bafu na choo si vinakuwa pua na mdomo? Me huwa nakata gogo kabisa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaingia na chainsaw bafuni?
Kama bafu la master unaingia tu mkuu.
Kwa namna moja au nyingine inasaidia matumizi bora ya maji kama utakojoa na ukafanya usafi mzuri na kuliacha kavu bafu baada ya kuogaKwanini unakojoa bafuni wakati unaoga [emoji20][emoji20][emoji20]
Kwanini usikojoe kabla chooni?
Sema kweli!muaibishe shetani Kama huwa unakojoa bafuni pia[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1335478
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapangaji wenzangu wanakojoa bafuni hata wakati ambao si wa kuoga, wanakera sana
Sent using Jamii Forums mobile app