Je, na wewe huwa unakojoa bafuni wakati unaoga?

Je, na wewe huwa unakojoa bafuni wakati unaoga?

CarloJesus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2019
Posts
431
Reaction score
837
Kwanini unakojoa bafuni wakati unaoga [emoji20][emoji20][emoji20]

Kwanini usikojoe kabla chooni?

Sema kweli!muaibishe shetani Kama huwa unakojoa bafuni pia[emoji3][emoji3][emoji3]

maxresdefault.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani bafu na choo si vinakuwa pua na mdomo? Me huwa nakata gogo kabisa .
 
Mada za waliosajiliwa line zao kwa alama za vidole 😜

Hao ni wabafuni wakitandani ukianza msiache kunitag.. hii shughuli nilianza toka mtoto naitafutia tuzo
 
Back
Top Bottom