Nimewaambia ila hata hawajaachaHii ni hatari sana kwa afya ya watumiaji wa hulo bafu, washauri wakojoe wakati wa kuoga ili mkojo usafishwe na yale maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Kuna vitu viwili ambavyo Ni kawaida kuvikojoa...
Lakini hapa namaanisha mkojo wenye UREA
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh..you can't be serious..Wapangaji wenzangu wanakojoa bafuni hata wakati ambao si wa kuoga, wanakera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unakojoa bafuni wakati unaoga [emoji20][emoji20][emoji20]
Kwanini usikojoe kabla chooni?
Sema kweli!muaibishe shetani Kama huwa unakojoa bafuni pia[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1335478
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukienda kwenye hotel kubwa kubwa hasa za nje ya bongo hukuti hata malapa. Wenzetu hawana utaratibu wa kuingia na malapa bafuni au chooni.

Bafu unatumia wewe na mpenzi wako, usafi wa hsli ya juu, malapa ya kazi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukienda kwenye hotel kubwa kubwa hasa za nje ya bongo hukuti hata malapa. Wenzetu hawana utaratibu wa kuingia na malapa bafuni au chooni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh lazima watakua kabila Fulani kubwa la Kanda ya ziwa...wao kukojoa bafuni fresh tuuWapangaji wenzangu wanakojoa bafuni hata wakati ambao si wa kuoga, wanakera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilimaanisha kujisema UKWELI...kuficha uongo Ni kumuunga mkono shetani
Yaani hauwezi kuamini ila watu ndio wanafanya hivyo mkuuDuuh..you can't be serious..
Mmmh lazima watakua kabila Fulani kubwa la Kanda ya ziwa...wao kukojoa bafuni fresh tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Loh nilijua watu wa Pwani wanajitahidi kwa usafi