Je, na wewe huwa unakojoa bafuni wakati unaoga?

Je, na wewe huwa unakojoa bafuni wakati unaoga?

Vikojozi wote wanaosoma kimya kimya wagonge like hapa
 
Mmoja hayuko mbali na huko ulikotaja na mwingine mtu wa Tanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Loh nilijua watu wa Pwani wanajitahidi kwa usafi

Hilo kabila...hata ukienda kuomba kuingia haja ndogo...wanakwambia nenda bafuni loh[emoji3]

Kama Ni kuoga ...Bora usubiri night kali uoge nje Kama unaoga dawa za mganga,au uoge maporini.... vinginevyo unachukua uchafu mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom