Huyu jamaa hajielewi kabisa...IGP alishasema wanaume tuache umama, mwanaume unakosaje rungu,sime,manati,nondo nzito ama silaha yoyote ya kujihami pindi unapokutana zahama ndogondogo kama za kuingiliwa na vibaka?
Kumbuka silaha zote zisizo za moto hazihitaji kibali chochote, ikiwemo upinde na mishale.
Upinde unaonekana hapo ni modern bow, na unatumika hata vitani, michezo na kuwindia, nahitaji kuwa assured na sheria za nchi unaweza agiza ukaishia bandarini. Kama umesoma maelezo yangu ninalo panga ndani, ninayo Pr24, issue ni kwamba hawajamaa hawakuingia ndani na walikata nindo ka sehemu nne hivi. Na nilikuwa nawaona kabisa manake wakati wanakata ilikuwa inatoa mlio. Ningekuwa na hiyo kitu ningemalizana nao. Hata kama nikiikosa hii kwa sababu za kisheria naenda kuchukuwa teaser pale tanganyika arms. Hawa washenzi mpaka nimlaze mmoja chini. Najua watarudi kwa sababu ni maeneo ambayo ndo tumeamia hamia na nyimba nyingi wameshavunjiwa na kichukuwa simu na TV. Mi nataka niwe mfano nikisema nianze process za silaha ya moto nitachelewa.IGP alishasema wanaume tuache umama, mwanaume unakosaje rungu,sime,manati,nondo nzito ama silaha yoyote ya kujihami pindi unapokutana zahama ndogondogo kama za kuingiliwa na vibaka?
Kumbuka silaha zote zisizo za moto hazihitaji kibali chochote, ikiwemo upinde na mishale.
Umekariri vitu na itakuchukuwa muda kufahamu ninachokiongelea hapo nini. Huo siyo upinde kama ule wa babu yako kule kijijini. Huo ni upinde wa kisasa ambao unatimika vitani. Kabla ya kununua kitu chochote lazima ujiridhishe. Unafikiri kwa nini printer za 3D zinazuiwa kuingia baadhi ya nchi ili hali ni printer tu? Kabla ya kufanya maamuzi fanya utafti. Lakini kwa kuwa unataka kuchangamsha jukwaa na uonekane na wewe humo basi twende kazi.Huyu jamaa hajielewi kabisa...
Kama unaona utakusaidia ni rahisi kwenda polisi kuthibitisha hilo, vinginevyo huhitaji kuongelea watu maneno ya kashfa ndugu milionea....Umekariri vitu na itakuchukuwa muda kufahamu ninachokiongelea hapo nini. Huo siyo upinde kama ule wa babu yako kule kijijini. Huo ni upinde wa kisasa ambao unatimika vitani. Kabla ya kununua kitu chochote lazima ujiridhishe. Unafikiri kwa nini printer za 3D zinazuiwa kuingia baadhi ya nchi ili hali ni printer tu? Kabla ya kufanya maamuzi fanya utafti. Lakini kwa kuwa unataka kuchangamsha jukwaa na uonekane na wewe humo basi twende kazi.
Una ujuaji wa kishamba kashifa unaijua wewe, siyo kila jambo usijifanye unajua ndo kinachomuumiza binamu yako msiba kwa sasa. We unahisi kwamba mimi sijui kama upinde, panga, shoka, rungu, mukuki naweza kuwa navyo pasipo kibali? Usikurupuke tafakari kwanza. Sheria zinazohusiana na ulinzi na usalama zinabadilika kila sikuKama unaona utakusaidia ni rahisi kwenda polisi kuthibitisha hilo, vinginevyo huhitaji kuongelea watu maneno ya kashfa ndugu milionea....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa una maneno sanaU
Ukikuwa utaelewa kwa sasa malizia kucheza game hapo sebuleni kwa shemeji yako. Ila kumbuka ulipaswa kumwonea dadako huruma anapofunga mlango usiku yanayompata huko yeye ndo anajua.
Kwa hiyo unataka sisi ndo tukupe majibu kama hiyo silaha inaruhusiwa au laa, hujui mahala pa kupata maelezo..........wee jamaa utakuwa na matatizo.Una ujuaji wa kishamba kashifa unaijua wewe, siyo kila jambo usijifanye unajua ndo kinachomuumiza binamu yako msiba kwa sasa. We unahisi kwamba mimi sijui kama upinde, panga, shoka, rungu, mukuki naweza kuwa navyo pasipo kibali? Usikurupuke tafakari kwanza. Sheria zinazohusiana na ulinzi na usalama zinabadilika kila siku
Bwege kama wewe huwezi na majibu ya vitu vya msingi kama hivi. Wapo wenye majibu na si wewe zuzu.Kwa hiyo unataka sisi ndo tukupe majibu kama hiyo silaha inaruhusiwa au laa, hujui mahala pa kupata maelezo..........wee jamaa utakuwa na matatizo.
Sawa mama...Bwege kama wewe huwezi na majibu ya vitu vya msingi kama hivi. Wapo wenye majibu na si wewe zuzu.
Vyovyote vile kama umehisi nina hadhi sawa mamako basi mimi ni mtu mhimu kwako, kinyume chake pia ni sahihi, tuendelee. Mi bundle langu si la kupima na nina uhakika wa kula. Angalia rekodi zangu za hapa jf nina zaidi ya mwaka bila kusain off hata dk moja, online 24/7, 30 days per month, 12 months, 365daysSawa mama...
Asante mkuu ngoja ni deaal kwanza na huyu mshamba, anajifanya kunishobokea nimnyooshe kwanza. Nitaleta mrejeshoMe mwenyewe nataman I sana kujua. Ukipata majibu naomba nijulishe Mkuu.
Yeye ndiyo fani yake yaani yuko kazini na anatoa ajira nyingi sana kuliko wewe, kuua ni baada ya mahakama kuthibitisha kosa. Zipo sheria na haki zinazomlinda huyo unayedhania ni mhalifu, siku ukikutana na anayezijua sheria utajikuta wewe ndiye mtuhumiwa.Yote, kwani hata yeye anapoamua kuruka ukuta na kuingia kwenye eneo langu, na akavunja mlango amedhamiria
Nimesoma zaidi ya mara tatu sijakuelewa labda urudie tena, sijaelewa marehem anawezaje kujua sheria? Lakini pia naamini kuna sheria inayonipa kinga ya kujilinda, wakati trespass inapofanyika. Yaani upande ukuta, uje uvunje mlango bado uwe na sheria inayokulinda? Hii sheria inatumika ile nchi ya kusadikika ambayo pande zote imepakana na upepoYeye ndiyo fani yake yaani yuko kazini na anatoa ajira nyingi sana kuliko wewe, kuua ni baada ya mahakama kuthibitisha kosa. Zipo sheria na haki zinazomlinda huyo unayedhania ni mhalifu, siku ukikutana na anayezijua sheria utajikuta wewe ndiye mtuhumiwa.
Njoo kwetu uruke ukuta, uvunje mlango au ukate dirisha, uingie ndani kisha nikuchape risasi ufe tuone ni sheria gani unazojua zitakulinda.Yeye ndiyo fani yake yaani yuko kazini na anatoa ajira nyingi sana kuliko wewe, kuua ni baada ya mahakama kuthibitisha kosa. Zipo sheria na haki zinazomlinda huyo unayedhania ni mhalifu, siku ukikutana na anayezijua sheria utajikuta wewe ndiye mtuhumiwa.
Mkuu yaani seriously utaacha kujitetea mbele ya mtu mwenye nia ya kutoa uhai wako kwa sababu unaogopa kuvunja sheria?Yeye ndiyo fani yake yaani yuko kazini na anatoa ajira nyingi sana kuliko wewe, kuua ni baada ya mahakama kuthibitisha kosa. Zipo sheria na haki zinazomlinda huyo unayedhania ni mhalifu, siku ukikutana na anayezijua sheria utajikuta wewe ndiye mtuhumiwa.
Vibaka na wezi upewa nguvu na waganga wa kienyeji,tungeanza wasafisha waganga wote wa kienyeji kwenye makazi yetu vibaka,wezi na majambazi watatoweka.Awaibi bila ushauri wa waganga hawa.Nnavyochukia wezi vibaka, juzi kati wamekwarua nyaya zote za kwenye nyumba yetu aisee! Hawa umbwaaaaaaaaa...naombeni mganga
Unavaa facial mask.Nilifikiria kununua alarm system ya pilipili lkn ile ina tatizo moja ukisha arm system ikitokea false alarm inamwaga pilipili nyumba nzima. Lakini pia wakivunja ikimwaga pilipili sebuleni wewe pia huwezi toka chumbani japo watakuwa hawaoni hivo nawe hutoweza kutoka kuwapa kisago