Huyu jamaa hajielewi kabisa...IGP alishasema wanaume tuache umama, mwanaume unakosaje rungu,sime,manati,nondo nzito ama silaha yoyote ya kujihami pindi unapokutana zahama ndogondogo kama za kuingiliwa na vibaka?
Kumbuka silaha zote zisizo za moto hazihitaji kibali chochote, ikiwemo upinde na mishale.