Je nahizi pia ni dalili za kuungua (hiv) ?

Bila vipimo sahihi hata ujibiwe vipi bado utaishi kwa wasiwasi. Subiri doctors waje..
 
Jamani naomba mnielezee ipi ni best brand kwa uimara(not perfomance)kati ya HP, LENOVO, DELL NA TOSHIBA?? NB: Sihitaji maelezo ya brand nje ya hizo nilizotaja hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bado itakuwa unakunyemelea
 
Acha ujinga kwani vipimo hospitali hakuna hadi unajiua na hofu?hofu huleta mauti,nenda sipitali ukapimwe huku utadanganywa tu
 
nikikumbuka elimu ya darasa la 5b izo dalili sio sie tuliambiwa izi
1.kupungua uzito 10% bila sababu
2.kukohoa kikohozi kikavu mfululizo wiki 2
3.homa za mara kwa mara
4. mkanda wa jeshi

hayo ya kichwa kidogo kuwa na vijipele hapana bana, maana wengi tunavyo kwenye kichwa chini kule

huo mchirizi sio ile wanasema michirizi ya utamu eti hahahahhahah hatari sana
 
Kwani Huo muda ambao umetumia kucharaza hapa maandishi ungeenda kupima ungekufa?

Hizo ni dalili za HIV za mwisho kabla hujaanza kuhara na kutapika, Pumbafuu hakuna kipimo cha Macho kwenye ugonjwa wa Ukimwi

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
 
Hahahahah mkuu umenikumbusha mbali sana chuon nahapo ndo tumeingia kusoma HIV/AIDS daahhh mpaka mtu unaweza kuzimia .

BTW izo dalili hazitoshi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa .kumbuka HIV au AIDS inastage 3 .

Yakwanza nipale kirusi kimeingia hutokea Kwa wiki mbili mpaka miezi miwili ivi .hapa ndo mtu hupata rushes ,,kichwa kuuma balaa ,,kutoka najasho usiku bila hata sababu wala sio eti chumba kinajoto ( hata km upo iringa bado jasho litakutoka usiku ).kuchoka sanaaaaaaaa,,, rashes hutokea uson ,mabegan ,,viganjan nakifuani , homa , kutokwa na vidonda mdomon naulimi nakubwa Tezi za arm pit ,kweye groin ,nashingo zinavimbaaaaaa.


Baada ya miezi miwili hizi dalili zinapoteaaaaaaaaaaaa.

Stage yapili ...hapa hakuna dalili zakuumwa ugonjwa huyu yaan utanenepa km kawaida nahaoa ndio virusi huzaliana sana na hapa ndipo husambazwa sana kutoka mtu mmoja had I mwingine.
Hapa hutumua miaka 5-15 kama kwenu/kwako unakula vzur .

Stage yatatu ,,hapw ndipo palipo na MZEE BABA MTU MZIMA AIDS yaan hapa CD4 zimebak chache ,,sasa zile dalili zote ulizozisoma shulen ya msingi na sekondar ndipo hapa zinatokea !!hapa ni ama UMEZE MBAAZI AU RIP .

N.b dalili tajwa hapo juu zaweza sababishwa na TB ,kwaiyo nenda upime damu yako ikiwa SALAMA USIRUDIE KUUZA GEMU KAVU KAVU ..HAPA DUNIANI KUNA WATU KAZI YAO NIKUUA WENGINE NAMISIBANI HAWAHUDHURII ,, HAWA WAKISHAJUA WAMEKUUNGUZA NAWAO WANAPOTEA KTK MAISHA YAKO NAUSIWAONE TENAAAA.......ACHA KUUZA GEM KAVU KAVU .
 
Kwani Huo muda ambao umetumia kucharaza hapa maandishi ungeenda kupima ungekufa?

Hizo ni dalili za HIV za mwisho kabla hujaanza kuhara na kutapika, Pumbafuu hakuna kipimo cha Macho kwenye ugonjwa wa Ukimwi

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
Katolewe Danube ipimwe haya mambo ya kupiga ramli hayatakufikisha popote
 
Kwani Huo muda ambao umetumia kucharaza hapa maandishi ungeenda kupima ungekufa?

Hizo ni dalili za HIV za mwisho kabla hujaanza kuhara na kutapika, Pumbafuu hakuna kipimo cha Macho kwenye ugonjwa wa Ukimwi

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio poa

Madame S
 
Kafanye vipimo ndugu, tena pima kabisa na magonjwa mengne ya zinaa kwa hiyo hali yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…