Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani naomba mnielezee ipi ni best brand kwa uimara(not perfomance)kati ya HP, LENOVO, DELL NA TOSHIBA?? NB: Sihitaji maelezo ya brand nje ya hizo nilizotaja hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado itakuwa unakunyemeleaNapenda ulizia hizi kama ni moja wapo ya dalili za ukimwi!??
1.kuwa na michirizi mgongoni usawa wa tumbo ikiwa imekaa horizontal.,
2. Kichwa cha uume chini yake kuwa na vijipele vidogo vidogo
Kwa wataalamu na wajuzi wa kiafya naombeni mnisaidie
Hahahahah mkuu umenikumbusha mbali sana chuon nahapo ndo tumeingia kusoma HIV/AIDS daahhh mpaka mtu unaweza kuzimia .Napenda ulizia hizi kama ni moja wapo ya dalili za ukimwi!??
1.kuwa na michirizi mgongoni usawa wa tumbo ikiwa imekaa horizontal.,
2. Kichwa cha uume chini yake kuwa na vijipele vidogo vidogo
Kwa wataalamu na wajuzi wa kiafya naombeni mnisaidie
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kwani Huo muda ambao umetumia kucharaza hapa maandishi ungeenda kupima ungekufa?
Hizo ni dalili za HIV za mwisho kabla hujaanza kuhara na kutapika, Pumbafuu hakuna kipimo cha Macho kwenye ugonjwa wa Ukimwi
Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
Ngoja nikapime tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio poaKwani Huo muda ambao umetumia kucharaza hapa maandishi ungeenda kupima ungekufa?
Hizo ni dalili za HIV za mwisho kabla hujaanza kuhara na kutapika, Pumbafuu hakuna kipimo cha Macho kwenye ugonjwa wa Ukimwi
Usinisahau kwenye Baraza Jipya.