Je, Naibu Waziri Mkuu Biteko kamshindwa mkurugenzi EWURA kwenye suala la kutoa vibali gesi asilia ya magari?

Je, Naibu Waziri Mkuu Biteko kamshindwa mkurugenzi EWURA kwenye suala la kutoa vibali gesi asilia ya magari?

Mkurugenzi ni mume wa Spika wa mchongo anasubiri mafao ya wenza, unadhani Dotto atafanya nini?
 
Sasa Gesi Ikiwa Nyingi Vituo vya Mafuta si Vitafungwa na Huko Kwenye Mafuta Kuna Vigogo lazima Waweke Nongwa
 
Nchi ngumu kutoa maamuzi ya jambo dogo Je ingekuwa vita.
 
Kuna kampuni ya Dalbit tunaona imekamilisha kujenga kituo cha kisasa pale Airport lakini tunaambiwa EWURA WANANYIMA VIBALI! sasa najiuliza je Mkurugenzi EWURA ni mkubwa kuliko NAIBU WAZIRI MKUU?
Kwanza huyu ni mgeni ktk eneo hili, anabebwa na my... wake
 
Back
Top Bottom