Je, najuaje kama nina tatizo la Homa ya Uti wa mgongo (Meningitis)

Je, najuaje kama nina tatizo la Homa ya Uti wa mgongo (Meningitis)

Tuo Tuo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
678
Reaction score
1,202
Ninaonesha dalili zifutazo
1. Homa kali kichwa kama kinawaka moto
2. Maumivu ya mgongo
3. Maumivu ya kichwa
4. Kuhisi kama unachanganyikiwa

Kama kuna mtu ashawai pata hilo tatizo anikosoe.
 
Ninaonesha dalili zifutazo
1.homa kali kichwa kama kinawaka moto
2.maumivu ya mgongo
3.maumivu ya kichwa
4.kuhisi kama unachanganyikiwa

Kama kuna mtu ashawai pata hilo tatizo anikosoe
Nenda hospitali acha kupoteza muda JF. Usije kutufia bure humu
 
Ninaonesha dalili zifutazo
1. Homa kali kichwa kama kinawaka moto
2. Maumivu ya mgongo
3. Maumivu ya kichwa
4. Kuhisi kama unachanganyikiwa

Kama kuna mtu ashawai pata hilo tatizo anikosoe.

Yaani unataka usimuliwe kama una maradhi au hauna, aisee!!
 
Ninaonesha dalili zifutazo
1. Homa kali kichwa kama kinawaka moto
2. Maumivu ya mgongo
3. Maumivu ya kichwa
4. Kuhisi kama unachanganyikiwa

Kama kuna mtu ashawai pata hilo tatizo anikosoe.
Inaweza ikawa sii ugonjwa, au pengine inaweza ikawa na side effects za kundalini energy... Wewe ndio daktari wa ugonjwa wako, huku utapata utabiri tuu kama wa sheikh yahaya
 
Inaweza ikawa sii ugonjwa, au pengine inaweza ikawa na side effects za kundalini energy... Wewe ndio daktari wa ugonjwa wako, huku utapata utabiri tuu kama wa sheikh yahaya
kuna watalamu wabobezi wanapita pita humu pia
 
Back
Top Bottom