Je, namba kubwa kuliko zote duniani ni ipi?

Sasa hapo kipi cha ajabu ...
 
Mjusi alizema tuna deal na wrong number na false mathematics.

Ila number haina mwisho pengine yawezekana na ni moja ya maajabu ya ulimwengu ukitafsiri kwa upana .
ukijaribu kuchora flower of life hata ww huta weza fika mwishoo
 
Wazo zuri sana,tukitafakari kama wewe,tz ingefika mbali sana,
 
Naona wakali wa hesabu mnonyeshana makali yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…