Je, namba kubwa kuliko zote duniani ni ipi?


Kwa kuongezea tu infinity zimetofautiana ukubwa. Yaan kuna infinity ambazo ni ndogo ukilinganisha na nyingine. Mfano wa infinity ndogo ni swali alilowahi kuuliza mwanafalsafa mmoja anaejulikana kama Zeno, aliuliza hivi mfano mtu anataka kutoka ubungo mpaka mwenge lakini akaamua kwenye kwenda atakua akienda nusu tu ya umbali uliobakia....aisee ukitazama kwa undani utagundua huyu mwamba hatafika kamwe mwenge kwa sababu kila umbali utakaobaki unawezekana kugawanywa kwa mbili. Hili swali ni majudi juzi tu limeweza kuwekwa sawa.

Hata hivyo maswala ya infinity are beyond our imagination kama kutaka kufikiri universe bila muda.
 
(Infinity + 1) ni kubwa zaidi, kumbuka, infinity sio namba, ni nadharia.
Kajicomfuse mwenyewe infinity plus any number jibu ni infinity
Ww unataka kuvuruga watu ki hesabu kitu ambacho hakina mwisho au ukomo kinahesabika km infinity isipokuwa namba zisizojulikana hizi zinaitwa imeginary
Eg Square root -1 = 1 i

1/0 = infinity

Kqjivuruge mwenyewe
 
Sawa, ila surel (infinity +1) ni kubwa zaidi ya infinity, na hata kama ikawa ni sawa na infinity, basi nitajumlisha tena 1, na itakuwa kubwa zaidi. Infinity sio number, ni concept.
 
Namba kubwa kuliko zote ni ile ambayo binadamu na vifaa vyake vyote tumeshindwa ku comprehend, infinity kwetu ni imaginary lakini inaweza kua kitu kidogo kwa higher dimensions beings.
Namba ya mwisho ni ile ambayo binadamu ameishia kuitunga jina, infinity ni convention tu kuwa binadamu hana uwezo nacho ama akitilii maanani.
 
(Infinity) + 1 ni kubwa zaidi
 
Sawa, ila surel (infinity +1) ni kubwa zaidi ya infinity, na hata kama ikawa ni sawa na infinity, basi nitajumlisha tena 1, na itakuwa kubwa zaidi. Infinity sio number, ni concept.
Kichwa nazi haya basi tafuta io namba kubwa mm usiniite tena hapa

Shwaim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…