Je, namba kubwa kuliko zote duniani ni ipi?

Unamaanisha nini kusema infinity is not a number ?
 
Number inatumika ku-quantify something... so limit ya namba ipo kwenye kitu unachotaka kuki-quantify.... hivyo hakuna maana ya kujua the limit of the number bali kuna maana ya kujua the limit of something. Tunasema space ni infinite kwasababu hatuwezi kumeasure kwa maana hatujui mwanzo na mwisho wake ni upi.
 
Achana na hiyo....Unajua kwamba Kuna namba nyingi(decimals) Kati ya 0 mpaka 1, zaidi kuliko namba kamili(whole numbers) kuanzia 0 mpaka infinity
unapo taja namba unaongelea namba kamili, whole number.
 
0 hadi 9! au 1 hadi 0? Hesabu huanzia 1 na kuishia 0 na sifuri inaweza kuzifuta namba zote mfano 100,000 × 0 =
au 0 × 100,000=

Zote ni 0.
wewe upo upande wa electronics, mifumo yenu ina tawaliwa na number 0&1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…