kama kila mwaka atatembea nusu ya umbali uliobaki, kweli hataKwa kuongezea tu infinity zimetofautiana ukubwa. Yaan kuna infinity ambazo ni ndogo ukilinganisha na nyingine. Mfano wa infinity ndogo ni swali alilowahi kuuliza mwanafalsafa mmoja anaejulikana kama Zeno, aliuliza hivi mfano mtu anataka kutoka ubungo mpaka mwenge lakini akaamua kwenye kwenda atakua akienda nusu tu ya umbali uliobakia....aisee ukitazama kwa undani utagundua huyu mwamba hatafika kamwe mwenge kwa sababu kila umbali utakaobaki unawezekana kugawanywa kwa mbili. Hili swali ni majudi juzi tu limeweza kuwekwa sawa.
Hata hivyo maswala ya infinity are beyond our imagination kama kutaka kufikiri universe bila muda.
Kwanini wakati Kuna Aina nyingi Za nambaunapo taja namba unaongelea namba kamili, whole number.
Hatafikakama kila mwaka atatembea nusu ya umbali uliobaki, kweli hata
fika.
Zero maana yake nini ?Kwenye makasha yangu sijaona nilipoandika Ziro.
Ndio, 1 ni ndogo kuliko 9, ila (9 + 1) ni kubwa kuliko (9)Hiyo 1 unayotaka kuongeza bado ni ndogo kuliko 9
Kwa sababu infinity ni concept kuhusu number, na sio number in itself, kwahiyo infinity can be a whole wide range of numbers, mfano, (infinity+1), (infinity+2), (infinity+3) zote zinamaanisha kitu hicho hicho, hazina tofauti. Ila number kama 6 ni number kwa sababu (6+1), (6+2), (6+3) zina value tofauti i.e 7, 8,9.Unamaanisha nini kusema infinity is not a number ?
Kikubwa 9 ndo namba kubwa kuliko namba zote.Ndio, 1 ni ndogo kuliko 9, ila (9 + 1) ni kubwa kuliko (9)
TrueAny number that you can imagine no matter how big it is, it's always closer to zero than it is to infinity!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Shitabalwa in figures inaandikwaje?
(Infinite) + 1 ni kubwa zaidiAs long as kuna infinite space ya kuandika number that means namba kubwa zaidi ni infinite pia.
Yapi ni mengi?Umezinganisha hapo ambapo ukifanya hutofikia mwisho
Sawa, sasa jibu swali.Number inatumika ku-quantify something... so limit ya namba ipo kwenye kitu unachotaka kuki-quantify.... hivyo hakuna maana ya kujua the limit of the number bali kuna maana ya kujua the limit of something. Tunasema space ni infinite kwasababu hatuwezi kumeasure kwa maana hatujui mwanzo na mwisho wake ni upi.
9 + 1 ni kubwa zaidiNi 9
Zero + 1 ni kubwa zaidiZero...
9 +1 ni kubwa zaidiKikubwa 9 ndo namba kubwa kuliko namba zote.
0.1 ni kubwa kuliko 0 ... Hesabu ya wapi hiyo inayosema 0.1 ndogo kuliko 0.0.1 ni number na ni ndogo kuliko 0.
Msamehe bure,Hesabu kwako ni tatizo. 0.1 inakuwaje ndogo kuliko 0? Namba ndogo kuliko 0 ni negative number tu.