Je, namba ya NIDA ni lazima katika mchakato wa kuapply Vyuo na Mikopo?

Dinah16

New Member
Joined
Jun 10, 2023
Posts
4
Reaction score
4
Msaada members, Nina mdogo wangu amechaguliwa jeshini na kashaondoka, Sasa katika pitapita zangu nimeona Kuna mtu anasema katika application za chuo na mikopo ni lazima uwe na no. Ya NIDA.

Je ni kweli kwa wanaoelewa system vizuri maana hapa mdogo wangu Hana nida Wala hajaomba hatujui chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…