king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,149
Namba ya jezi ya Samatta unaijua?habari wana jamvi, najua kuna jukwaa la sport ila pia lakin umu wanaolitembelea hili jukwaa ni wengi , nna swali huwa linanitatiza sana , wachezaji huwa wanapewa no nyuma ya jez 1-11 lakin kuna wengine wanapata namba zaidi ya 11 mfano wachezaji wa simba ,kichuya ana 25 , manula ana jez no 28 , pia kuna wengine wengi wana namb kubwa kama 13, 15 ,19 , au zaidi .je hii ina maana gani .
Muongeze swali lingine nazani hajakuelewa badoNamba ya jezi ya Samatta unaijua?
Ngoja nimpe hili: Nini maana ya namba za magari?Muongeze swali lingine nazani hajakuelewa bado
Hahaha sijui km ata jibu[emoji5]Ngoja nimpe hili: Nini maana ya namba za magari?
Ha ha haaa jamaa kamkimbiza anataka kujua ndo kwanzaaa anaongezewa mzigo wa maswaliHahaha sijui km ata jibu[emoji5]
Lkn Kamuweza mkuu 7bu swali hujibiwa na swaliHa ha haaa jamaa kamkimbiza anataka kujua ndo kwanzaaa anaongezewa mzigo wa maswali
Sawa ngoka tumsubiri ajibu na yeye kabla hajajiniwaLkn Kamuweza mkuu 7bu swali hujibiwa na swali
Alianza na 77, leo ana 10 mkuuNamba ya jezi ya Samatta unaijua?
Hapo umeshamjibu tayari. Hizo number kwa lugha nyingine zinaitwa namba za kikosi kazi (squad numbers). Kazi yake ni utambulisho. Mara nyingi 1-11 zimekuwa zikitumika sambamba na nafasi ya mchezaji uwanjani.Nikita mdogo niliambiwa eti 1.- 11 ni kwa ajili y'all First Eleven.
Lakini baadae nimekuja kuona first eleven wakiwa na namba nje ya hizo.
Inawezekana ni vile aliyekuwa starter anapoteza kiwango, aliyekuwa bench anaanza na namba haibadiliki.
Ila kiuhalisia swali la jamaa ni la msingi, sema watu wanajoke.
WaTanzania tuna shida sana.yaani hili ndiyo jibu kwa mtoa swali?Namba ya jezi ya Samatta unaijua?
WaTanzania tuna shida sana.yaani hili ndiyo jibu kwa mtoa swali?