king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,149
Habari wana jamvi, najua kuna jukwaa la sport ila pia lakin umu wanaolitembelea hili jukwaa ni wengi , nna swali huwa linanitatiza sana , wachezaji huwa wanapewa no nyuma ya jez 1-11 lakini kuna wengine wanapata namba zaidi ya 11 mfano wachezaji wa simba, kichuya ana 25 , manula ana jez no 28, pia kuna wengine wengi wana namb kubwa kama 13, 15 ,19 , au zaidi .je hii ina maana gani.