A
Anonymous
Guest
Wakuu ,heshima mbele.
Niende moja kwa moja kwenye mada itakayokuwa na maswali kadhaa.
Je nani hasa alikua akifadhili ofisi /kazi za 41 . Maana ofisi /kazi hii ilihitaji gharama kubwa je pesa zilitoka wapi?
Kuendesha hii ofisi /kazi kwa saa 24 kila siku kwa mwaka zaidi ya mmoja bila kujua malipo ya ofisi/kazi hii ina yatalipwa lini ilikua ikijulikana?
Je kandarasi ya barabara ya kwenda kusini yenye namba 20191910 ilikua ni trial and error ilikua ni failed project au mkandarasi aliijenga chini ya viwango?
Kidesturi tulitarajia "matatizo" ya ndani ya babaraba tulitarajia atayajua mkandarasi kwanza kabla hayajavuka koridoni kuja kwa mafundi huku ila ajabu tukajua mapema sana kumbe mkandarasi ilikua lazima "battery" iwepo ndio kazi iendelee na ipo hivyo miongo karibu mitatu nani aliwapa mafundi hii taarifa kabla mkandarasi mwenyewe kusema?
Baada kandarasi ya ujenzi yenye namba 21207103 kuisha ndio barabara za kwenda mtoni na ziwani ziliisha au itaanza project ya barabara za kwenda baharini tu au ziwani na mtoni pia ?
Je tutarajie ofisi ya project 41 baada ya kukamilisha ujenzi na kubadili wafanyakazi , dira ,dhima na maadili ya msingi itaboresha ufanyaji wake kwa mtindo ule ule huku tukielekea project 42
Nawaza sana na mvua hizi za rasha rasha wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu.
Wasalaam.