Pre GE2025 Je, nani anapaswa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kupitia mchango wako una maana kwamba bado Mh.Mbowe anahitajika sana katika nafasi ya uenyekiti wa CDM kwa ajili ya kukijenga na kukipa ukomavu zaidi ?
 
Naunga mkono hoja safu ya ushambuliaji
Lisu
Heche
Kigaila
Sugu
Mambo ya kubembelezana tuyaache.ccm waache zarau.tuheshimiane.
 
Sumu haionjwi nani anaeweza kuleta shinikizo la Mh Mbowe kujiuzulu?
 
"Kuongea Ukiwa nje ya mfumo ni kubahatisha.
Siri ya ngoma aijuaye ni Mwamba ngoma" Funndimchindo

Hayo ndo maneno niliyo yakubali mkuu.
 
kwa miaka ya hivi karibuni hakuna mbadala wa mwamba wa kaskazini F.A.MBOWE as a chairman of Chadema, mpaka baadae sana miaka ijayo 🐒
 
Mwenyekiti wa maisha huyo
 
Nakumbuka Nyarandu aliwahi kugombea uenyekiti , na baada ya miezi michache akalamba ulabu wa ccm..

Kina upendo peneza walikuwa moto kuliko hata kina halima mdee na kina bulaya wakiwa viongozi wa bavicha na kanda lakini wote wamelamba ulabu wa ccm.

Hivyo Mbowe apewe maua yake, si kila anaye jua kuongea anaweza kuwa mwenyekiti wa chadema

Nashauri chadema wabadiri muundi wa uongozi ili kuwa na baraza la usalama la chama litakalo fuatilia nyendo za viongozi
 
Tundu Lissu anaweza kutufikisha kwenye nchi ya ahadi
 
Lizisha× ni ridhisha✓
Tayali× ni tayari✓
Wewe ni mmoja wa wasomi hafifu ( half cooked) waliojazana kwenye vyama vya siasa hususani CHADEMA!
 
Kuhusu baraza la usalama wa chama kuundwa na CDM ni ushauri bora kabisa maana hii ya kulamba asali inakatisha tamaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…