Pre GE2025 Je, nani anapaswa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yeyote atakayegombea na kushinda.
 
Ukweli kafanya makubwa hilo liko wazi,lakini inabidi apumzike juhudi zake zitadumu kwa wana cdm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…