The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Waafrika kila kitu ni kulalamika tu hawaji na solution bali ni kulaumu laumu tu, hawapendi kupongeza kabisa ni chuki na wivu vinavyosababishwa na umaskini wetu ndiyo kitu kinatafuna bara hili.Watu wanashangaza sana ligi yetu imekuwa na ushindani sana.
Ukiona timu kama mtibwa na kagera Sugar zinapambana kutoshuka daraja ni picha tosha ushindani umeongezeka.
NB: Ningependa Mbeya City wasishuke daraja msimu huu aisee.
Poleni kwa kazi nzito mliyopata vilingine. Ndio maana kila mtu anasema ile mechi ilikuwa mfunge goli sita ila mkakosa ya wazi ksbisa...Ulozi aisee.. Kama kuna mwaka Simba imerogwa na Yanga basi ni huu..huko vilingeni tunapata tabu sana
Kwa hili la Azam nakubaliana na wewe. Eti kuna sehemu watu wanalipia ktk vibanda umiza kuangalia ligi ya ndani!! Hakika haya ni maajabu na usingeweza kuamini jambo hili linawezekana miaka michache iliyopita.Ukweli utabaki kuwa, Azam TV wameleta hamasa kubwa sana katika ligi yetu. Na siyo mpira tu, hata michezo mingine mfano masumbwi (Vitasa). Nilikuwa sipendi masumbwi ya bongo, ila nimetapenda baada ya kuanza kurushwa na Azam!
Leo timu zote zinacheza kwa bidii, kwa sababu wanajua wanafuatiliwa kwenye TV! Mchezaji gani hataki kujiuza kupitia TV, ili asajiliwe timu kubwa?
Leo, huko ndani ndani Watanzania wengi tu wanafuatilia ligi yetu kupitia Azam TV!
Nikipata nafasi ya kuwashauri TFF nitasema kwamba, watafute mdhamini wa kueleweka na timu zibaki 18 au zifike 20. Hii nchi ni kubwa, kuna mikoa haina timu za ligi kuu.
Mikoa hii ikipata timu, hamasa itakuwa ni kubwa sana, na hela ipo kwenye mpira kwa sasa!
Hongera Azam TV!
Upo sahihi chief.Watu wanashangaza sana ligi yetu imekuwa na ushindani sana.
Ukiona timu kama mtibwa na kagera Sugar zinapambana kutoshuka daraja ni picha tosha ushindani umeongezeka.
NB: Ningependa Mbeya City wasishuke daraja msimu huu aisee.
Nakukatalia mpaka nakufa, bongo hakuna mchezaji anayecheza ili aonekane mahala kama yupo naomba unitajie ( labda kama una maanisha kwenda simba na yanga kwa uchache Azam).Mo alikuwepo tangu kitambo na ligi haikuwahi kukuwa km sasa, au unampongeza kwa Simba kuingia robo fainali? Kwani ndo mara ya kwanza kwa timu za Tanzania kuingia robo fainali? Zimeshafanya hivyo Yanga na Simba miaka mingi iliyopita labda uwe mtoto wa juzi.
Unamsifia Manara kwa lipi hasa juu ya soka la bongo kukuwa? Au maneno maneno mengi ya kipuuzi ambayo tumezoea kwa wasemaji wa timu za bongo? Unadhani maneno ya kihuni huni ndo yanayokuza mpira? Hao wasemaji wahuni wenye mawazo ya kizamani ndio wanaosababisha tusiende mbali zaidi ya hapa tulipo na ningeshauri waondolewe ili tuwe na watu proffesional wanaozijua kazi zao na sio spokesmen wenye mawazo ya Simba na Yanga ni upumbavu.
Hapo wa kupewa hongera ni Azam kwa kuonesha ligi yetu live cz kwa kufanya hivyo wameongeza mvuto wa ligi cz wachezaji wanakuza viwango ili waonekane zen wapate timu wanazoota kuzichezea, pia TFF japo sio sana lkn huwezi kukwepa kuwapongeza mana mafanikio ya ligi yanawahusu kwa asilimia nyingi.
TFF wawe sirias, mpira unalipa kwa sasa. Watafute wawekezaji, wasiwe sehemu ya kukwamisha maendeleo ya mpira.
Logic ndogo tu! Miaka ya nyuma (2000 kurudi nyuma) timu za ligi kuu zilifika 20 kama sikosei, na wananchi walikuwa wachache tofauti na sasa.
Miundo mbinu ya usafiri haikuwa rafiki sana, na timu zilikuwa hadi zinalala njiani na mechi inahairishwa inachezwa siku nyingine, lakini timu zilipambana kumaliza mechi. Leo hii miundombinu ya usafiri imeimarika, sehemu yoyote ndani ya Tanzania hii ikiwa mbali sana unasafiri kwa bus na hazizidi siku mbili!
Kipindi hicho hela hazikuwepo nyingi kwenye mpira kama sasa, lakini wachezaji walijitolea sana miaka hiyo.
Leo, hamasa ya mpira imekuwa kubwa kila kona ya nchi, lakini TFF wanataka tuwe na timu 16, na baadae 14.
Leo, hela ipo kwenye mpira kupitia viingilio tofauti na zamani, lakini TFF wanataka kupunguza timu badala ya kuongeza timu.
Leo tupo watanzania milion 55-60, lakini TFF wanataka timu ziwe 16, kweli?
Afisa masoko wa TFF pambana, ligi yetu imechangamka kwa sasa, iuzeni ligi yetu mpate wadhamini.
Timu ziongezeke zifike 20. Mbona zamani iliwezekana?
Naona umetoa bonge la summary.Nakukatalia mpaka nakufa, bongo hakuna mchezaji anayecheza ili aonekane mahala kama yupo naomba unitajie.
Hongera kwa Azam kwa kutoongezea wafutiliaji,
Hongera kwa Kina MO kumwaga hela, wachezaji wazuri mataifa jirani wanazisaka hela za MO, GSM na Bakhressa.
Hongera kwa TFF kwa kuruhusu namba ya players wa kigeni.
Shukrani kwa Smartphones na mitandao ya kijamii.
Kwahiyo hizo Azam, Simba na Yanga co timu au sio? Umefikiria kabla ya kujibu?Nakukatalia mpaka nakufa, bongo hakuna mchezaji anayecheza ili aonekane mahala kama yupo naomba unitajie ( labda kama una maanisha kwenda simba na yanga kwa uchache Azam).
Hongera kwa Azam kwa kutoongezea wafutiliaji,
Hongera kwa Kina MO kumwaga hela, wachezaji wazuri mataifa jirani wanazisaka hela za MO, GSM na Bakhressa.
Hongera kwa TFF kwa kuruhusu namba ya players wa kigeni.
Shukrani kwa Smartphones na mitandao ya kijamii.
Kaangalie Ligi ya South africa ina team ngapi urudi hapaTFF wawe sirias, mpira unalipa kwa sasa. Watafute wawekezaji, wasiwe sehemu ya kukwamisha maendeleo ya mpira.
Logic ndogo tu! Miaka ya nyuma (2000 kurudi nyuma) timu za ligi kuu zilifika 20 kama sikosei, na wananchi walikuwa wachache tofauti na sasa.
Miundo mbinu ya usafiri haikuwa rafiki sana, na timu zilikuwa hadi zinalala njiani na mechi inahairishwa inachezwa siku nyingine, lakini timu zilipambana kumaliza mechi. Leo hii miundombinu ya usafiri imeimarika, sehemu yoyote ndani ya Tanzania hii ikiwa mbali sana unasafiri kwa bus na hazizidi siku mbili!
Kipindi hicho hela hazikuwepo nyingi kwenye mpira kama sasa, lakini wachezaji walijitolea sana miaka hiyo.
Leo, hamasa ya mpira imekuwa kubwa kila kona ya nchi, lakini TFF wanataka tuwe na timu 16, na baadae 14.
Leo, hela ipo kwenye mpira kupitia viingilio tofauti na zamani, lakini TFF wanataka kupunguza timu badala ya kuongeza timu.
Leo tupo watanzania milion 55-60, lakini TFF wanataka timu ziwe 16, kweli?
Afisa masoko wa TFF pambana, ligi yetu imechangamka kwa sasa, iuzeni ligi yetu mpate wadhamini.
Timu ziongezeke zifike 20. Mbona zamani iliwezekana?
Mkuu nadhani hujanisoma vizuri,Mo alikuwepo tangu kitambo na ligi haikuwahi kukuwa km sasa, au unampongeza kwa Simba kuingia robo fainali? Kwani ndo mara ya kwanza kwa timu za Tanzania kuingia robo fainali? Zimeshafanya hivyo Yanga na Simba miaka mingi iliyopita labda uwe mtoto wa juzi.
Unamsifia Manara kwa lipi hasa juu ya soka la bongo kukuwa? Au maneno maneno mengi ya kipuuzi ambayo tumezoea kwa wasemaji wa timu za bongo? Unadhani maneno ya kihuni huni ndo yanayokuza mpira? Hao wasemaji wahuni wenye mawazo ya kizamani ndio wanaosababisha tusiende mbali zaidi ya hapa tulipo na ningeshauri waondolewe ili tuwe na watu proffesional wanaozijua kazi zao na sio spokesmen wenye mawazo ya Simba na Yanga ni upumbavu.
Hapo wa kupewa hongera ni Azam kwa kuonesha ligi yetu live cz kwa kufanya hivyo wameongeza mvuto wa ligi cz wachezaji wanakuza viwango ili waonekane zen wapate timu wanazoota kuzichezea, pia TFF japo sio sana lkn huwezi kukwepa kuwapongeza mana mafanikio ya ligi yanawahusu kwa asilimia nyingi.
Wewe jamaa embu pitia vizuri ni wapi nilipolalamika? Nimeuliza maswali kwasababu mleta mada katumia reference ya Simba vs Mbeya kutushawishi kuwa ligi imekwa na ushindani. Hivi timu kufungwa goli nne nako ni ushindani? Ingekuwa ni ushindani basi ingekuwa tough mechi kila upande na matokeo yasingepishana vile.Waafrika kila kitu ni kulalamika tu hawaji na solution bali ni kulaumu laumu tu, hawapendi kupongeza kabisa ni chuki na wivu vinavyosababishwa na umaskini wetu ndiyo kitu kinatafuna bara hili.
Tunachotakiwa sasa hivi ni kuboresha miundo mbinu ya viwanja na kuboresha academy zetu.Upo sahihi chief.
Tumeshawapiga bao..tumepata codes zao ... Hawana chao tena[emoji23][emoji23]Poleni sana wanavilinge wa Simba,wazee wa Yanga kina mzee Mpili wazee wa nyuklia wamefanya kazi kubwa.
Nachomaanisha mmi Bongo hakuna mchezaji anayecheza kusema aonekane aende nje.Kwahiyo hizo Azam, Simba na Yanga co timu au sio? Umefikiria kabla ya kujibu?
Mimi naona taasisi zilizofanya vizuri miaka mitano iliyopita ni TFF na Bodi ya ligi.Waafrika kila kitu ni kulalamika tu hawaji na solution bali ni kulaumu laumu tu, hawapendi kupongeza kabisa ni chuki na wivu vinavyosababishwa na umaskini wetu ndiyo kitu kinatafuna bara hili.
Mkuu baniani mbaya kiatu chake dawa. Hakika tusione mapungufu tu ya TFF ila wamefanya kazi kubwa sana....tuwapongeze.Mimi naona taasisi zilizofanya vizuri miaka mitano iliyopita ni TFF na Bodi ya ligi.
Tuna ligi ya wanawake, ligi ya under 17, ligi ya under 20, tumecheza AFCON under 17 mara mbili, tumecheza AFCON under 20 mara moja, tumetwaa vikombe under 17 vya East Africa mara mbili,
Timu yetu imeingia AFCON mara moja, Simba kaingia kwenye quarter final mara mbili, Namungo hatua ya makundi mara moja.
Mvuto wa ligi umeongezeka sana na udhamini kwenye ligi umeongezeka sana
TFF wamejitahidi sana kwa hii miaka mitano.
Na hili ndilo lililonishangaza zaidi...yaani unaangalia mpira na unapata burudani..Simba wamenifanya hata nipunguze kufatilia mpira wa ulaya maana burudani nayopata ni ileile