Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Sijui kiatu cha dhahabu kitatua lini bongo.
Si kiatu ukifikiriacho wewe cha dukani. Kiatu hiki akinunuliwi ila mtu anapewa kama mfungaji bora wa mabao, sasa mbongo achukue Kivipi? Inabidi kwanza tushiriki hayo mashindano.