Je napataje vibali vya kuingiza sukari?

mkwiji

Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
77
Reaction score
48
Habarini ndugu zangu.

Kama wote tujuavyo, sukari imekuwa gumzo kwa sasa. Naomba anaejua namna ambavyo kibali/vibali vya kuingiza sukari vinavyopatikana anijulishe. Je taratibu zikoje? Hasa kwa watu ambao tuko mkoa wa Mwanza na mikoa ya jirani.

Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…