Je, Nape Nnauye anapaswa kushtakiwa kwa kauli aliyotoa huko Bukoba?

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Kuna Video Ina Trend Mtandaoni ya Nape Nnauye akisema kwamba Yeye ni Mtaalamu na Mzoefu wa kuiba kura na kutangaza Matokeo ambayo sio halisi na kisha kuomba Msamaha kwa Mungu.

Lengo la Uzi huu ni kufahamu Je kauli hiyo kweli imetolewa na Nape?Je aliitoa Bukoba?Je Ni kauli sahihi kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya Mawasiliano?

Pili Je kwa kutumia kauli yake tu hiyo Je anaweza kushtakiwa Katika Tume ya Maadili ya Utumishi wa UMMA au Hata Mahakamani kwa Kuvunja Sheria kwa kutumia kauli yake kama Ushahidi?

Tatu Je Rais wa Jamhuri ya Muungano analazimika kumuondoa Nape katika Nafasi yake ya Uwaziri kwa Kutumia Kigezo cha Kauli yake ili ambayo inaonekana ni ya kiuchonganshi hasa ukizingatia tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu?

Je Spika wa BUnge halazimika kumuita Nape kwenye Kamati ya Nidhamu na Hata kumfuta Ubunge kwa sababu ya Kauli yake Hii? Je, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haipaswi kumshtaki Nape Nnauye kwa Kauli yake hii na Kumpiga Vita kushiriki katika Chaguzi zote za nchi na TUME kwa kutozingatia sheria na kanuni z Uchagui.

Nimeleta Uzi huu Hapa Fact Check Nikiomba Wataalamu Wa sheria,Katiba na Wafuatiliaji wa JF watafute Comments z Wote ambao nimewaweka hapa na wengine amba wanaweza kuwa na mamlaka na PIA NAPE NNAUYE ili kufahamu ukweli wa kauli na Msingi wa kisheria na kikatiba ambao unasimamia Viongozi wa Umma na MAwaziri.

Pia soma:Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza" ilikuwa ni ya utani
 
Katoa Siri ya kambi na huo ndio ukweli tuliamua chama kimoja kishike Dola milele!!

Naungana na Nape huo ndio ukweli!!

Pia nadhani kasoma mchezo Hana maisha marefu kwenye Baraza la mawaziri na maisha yake ya kisiasa!!
 
Wewe huoni kama io taarifa imechezewa eti wataalamu wa IT hapo kuna clip zimeunganishwa ndoanavosema
"System imechezewa"😂😂
 
Sasa anataka kusema tupo wapi kwenye uchunguzi uliopita!? Moja, mbili au tatu!? Je tumeshatubu Kwa Mungu!?
 
Hapo ndio utashangaa ushetani wa serikali zetu...

Clip ya dogo anayechima picha ya kuchora inashupaliwa na watawala, clip ya mtawala kujinasibu kutenda uovu itapita kama upepo tu...
 
Mkoa wa kegera ccm wakifika wanajisahau wanahisi wapo goma kongo maana zile kauli zao
 
Huyu naye atakuja kufa kishamba sana, watu wanasema na Mungu tu.
 
Sidhani kama hiyo kauli kaisema mwenyewe; itakuwa labda amesingiziwa au akaunti yake imenukuliwa vibaya.
 
Kama ni kweli, narudia Tena, kama ni kweli ametamka hayo maneno.
Alichokisema britanicca kinaenda kutokea muda si mrefu.
 
Kuna Video Ina Trend Mtandaoni ya Nape Nnauye akisema kwamba Yeye ni Mtaalamu na Mzoefu wa kuiba kura na kutangaza Matokeo ambayo sio halisi na kisha kuomba Msamaha kwa Mungu.

Lengo la Uzi huu ni kufahamu Je kauli hiyo kweli imetolewa na Nape?Je aliitoa Bukoba?Je Ni kauli sahihi kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya Mawasiliano?

Pili Je kwa kutumia kauli yake tu hiyo Je anaweza kushtakiwa Katika Tume ya Maadili ya Utumishi wa UMMA au Hata Mahakamani kwa Kuvunja Sheria kwa kutumia kauli yake kama Ushahidi?

Tatu Je Rais wa Jamhuri ya Muungano analazimika kumuondoa Nape katika Nafasi yake ya Uwaziri kwa Kutumia Kigezo cha Kauli yake ili ambayo inaonekana ni ya kiuchonganshi hasa ukizingatia tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu?

Je Spika wa BUnge halazimika kumuita Nape kwenye Kamati ya Nidhamu na Hata kumfuta Ubunge kwa sababu ya Kauli yake Hii? Je, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haipaswi kumshtaki Nape Nnauye kwa Kauli yake hii na Kumpiga Vita kushiriki katika Chaguzi zote za nchi na TUME kwa kutozingatia sheria na kanuni z Uchagui.

Nimeleta Uzi huu Hapa Fact Check Nikiomba Wataalamu Wa sheria,Katiba na Wafuatiliaji wa JF watafute Comments z Wote ambao nimewaweka hapa na wengine amba wanaweza kuwa na mamlaka na PIA NAPE NNAUYE ili kufahamu ukweli wa kauli na Msingi wa kisheria na kikatiba ambao unasimamia Viongozi wa Umma na MAwaziri.

Pia soma:Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza" ilikuwa ni ya utani
Siyo Nape tu kushitakiwa, ni Pamoja na CCM kushitakiwa Pamoja na Mwenyekiti wake na Tume ya Uchaguzi. Nape amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa Chama; na kuna mara nyingi kasema hayo Pamoja na goli la Mkono. Mwenyekiti wakati huo Makamu amewahi kusema maneno kama hayo hayo, ----- kama mnakumbuka.
 
Kuna Video Ina Trend Mtandaoni ya Nape Nnauye akisema kwamba Yeye ni Mtaalamu na Mzoefu wa kuiba kura na kutangaza Matokeo ambayo sio halisi na kisha kuomba Msamaha kwa Mungu.

Lengo la Uzi huu ni kufahamu Je kauli hiyo kweli imetolewa na Nape?Je aliitoa Bukoba?Je Ni kauli sahihi kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya Mawasiliano?

Pili Je kwa kutumia kauli yake tu hiyo Je anaweza kushtakiwa Katika Tume ya Maadili ya Utumishi wa UMMA au Hata Mahakamani kwa Kuvunja Sheria kwa kutumia kauli yake kama Ushahidi?

Tatu Je Rais wa Jamhuri ya Muungano analazimika kumuondoa Nape katika Nafasi yake ya Uwaziri kwa Kutumia Kigezo cha Kauli yake ili ambayo inaonekana ni ya kiuchonganshi hasa ukizingatia tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu?

Je Spika wa BUnge halazimika kumuita Nape kwenye Kamati ya Nidhamu na Hata kumfuta Ubunge kwa sababu ya Kauli yake Hii? Je, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haipaswi kumshtaki Nape Nnauye kwa Kauli yake hii na Kumpiga Vita kushiriki katika Chaguzi zote za nchi na TUME kwa kutozingatia sheria na kanuni z Uchagui.

Nimeleta Uzi huu Hapa Fact Check Nikiomba Wataalamu Wa sheria,Katiba na Wafuatiliaji wa JF watafute Comments z Wote ambao nimewaweka hapa na wengine amba wanaweza kuwa na mamlaka na PIA NAPE NNAUYE ili kufahamu ukweli wa kauli na Msingi wa kisheria na kikatiba ambao unasimamia Viongozi wa Umma na MAwaziri.

Pia soma:Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza" ilikuwa ni ya utani
Huo ndio ukweli wa jinsi CCM wanavyoshinda chaguzi hapa nchini.
 
Kwa ccm ndo atapongezwa,walishawahi kusema nchi haikabidhiwi kupitia makarakasi ya kwenye maboksi kwa wapinzani
 
Na huu mtindo wa CCM kufanya mikutano USIKU..sijui kuna nini nyuma ya pazia. . Niliiona pia Geita Mjini,Aprili-2024, baada ya CCM kupambana sana kumwandalia mkutano wa hadhara Upendo Peneza ambao ulishindwa kukidhi matarajio ya kupata wanachama 150 wa CHADEMA watakao hamia CCM na kuambulia 20 wa mchongo ambao waliletwa na lori kutoka Kasamwa- Kijiji jirani ili wanogeshe mkutano.Peneza alipotea na kuja kuibuka tena baada ya siku kadhaa wakiwa na JOKATE,gari likatangaza siku 2 mtaani kwamba watafanya mkutano Usiku kule 9fwatulole na kusisitiza sana akina Mama wahudhurie. ...Ajabu watu waliwapuuza wakakesha Upendo na Jokate na wana CCM wachache...Waka kimbilia Nkome huko Geita Vijijini nako mambo hayakuwanyookea.Wakapotea mazima...Sasa sijui ni kipi kinapimwa hapo...kwa kukusanya watu usiku?
 
Kuna Video Ina Trend Mtandaoni ya Nape Nnauye akisema kwamba Yeye ni Mtaalamu na Mzoefu wa kuiba kura na kutangaza Matokeo ambayo sio halisi na kisha kuomba Msamaha kwa Mungu.

Lengo la Uzi huu ni kufahamu Je kauli hiyo kweli imetolewa na Nape?Je aliitoa Bukoba?Je Ni kauli sahihi kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya Mawasiliano?

Pili Je kwa kutumia kauli yake tu hiyo Je anaweza kushtakiwa Katika Tume ya Maadili ya Utumishi wa UMMA au Hata Mahakamani kwa Kuvunja Sheria kwa kutumia kauli yake kama Ushahidi?

Tatu Je Rais wa Jamhuri ya Muungano analazimika kumuondoa Nape katika Nafasi yake ya Uwaziri kwa Kutumia Kigezo cha Kauli yake ili ambayo inaonekana ni ya kiuchonganshi hasa ukizingatia tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu?

Je Spika wa BUnge halazimika kumuita Nape kwenye Kamati ya Nidhamu na Hata kumfuta Ubunge kwa sababu ya Kauli yake Hii? Je, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haipaswi kumshtaki Nape Nnauye kwa Kauli yake hii na Kumpiga Vita kushiriki katika Chaguzi zote za nchi na TUME kwa kutozingatia sheria na kanuni z Uchagui.

Nimeleta Uzi huu Hapa Fact Check Nikiomba Wataalamu Wa sheria,Katiba na Wafuatiliaji wa JF watafute Comments z Wote ambao nimewaweka hapa na wengine amba wanaweza kuwa na mamlaka na PIA NAPE NNAUYE ili kufahamu ukweli wa kauli na Msingi wa kisheria na kikatiba ambao unasimamia Viongozi wa Umma na MAwaziri.

Pia soma:Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza" ilikuwa ni ya utani
Kamati ya maadili na Bunge havihusiki hapo.
Wananchi, CCM na Rais ndiyo wahusika katika kumshughulikia kwa kauli hiyo.
 
kama ni kweli aliyoyasema... ashugulikiwe kwa kujitapa vile anawaona watanzania mazwazwa, yaani waziri anajitapa kuwa ana mbinu za kushinda uchaguzi nje ya sanduku la kura.
Hii maana yake gharama zote za uchaguzi tunatumia hela kufanya upuuzi sio uchaguzi.

kama sio kweli alichosema, ashugulikiwe kwa kuichafua to tume ile iliyobatizwa kuwa huru halafu yeye anasahau ubatizo wa tume inaonekana bado ubatizo hautambuliki.
 
Back
Top Bottom