GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Nimekuwa nikijiuliza usemi huu "Tumechuma sote/ wote" na hii huwa inatokea
zaidi kwa wanawake pale wanapoachwa na waume zao wakitaka wapewe
mgao wa mali ambayo imepatikana kipindi cha ndoa yao!
Swali: Vipi iwapo umemuoa mwanamke halafu ndani ya ndoa yenu mambo
yakamnyookea na kumiliki mali ya kutosha, ikafikia kipindi huyu mwanamke
hataki kuwa nawe tena. JE! Kuna mgao mwanaume anaweza kudai hapo?