Je! naruhusiwa kudai mali aliyochuma mke wangu?

Je! naruhusiwa kudai mali aliyochuma mke wangu?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Nimekuwa nikijiuliza usemi huu "Tumechuma sote/ wote" na hii huwa inatokea
zaidi kwa wanawake pale wanapoachwa na waume zao wakitaka wapewe
mgao wa mali ambayo imepatikana kipindi cha ndoa yao!

Swali: Vipi iwapo umemuoa mwanamke halafu ndani ya ndoa yenu mambo
yakamnyookea na kumiliki mali ya kutosha, ikafikia kipindi huyu mwanamke
hataki kuwa nawe tena. JE! Kuna mgao mwanaume anaweza kudai hapo?
 
Mwanaume wa hivi akitokea akadai mie nitashauri mgawo wa chupi,pedi,sidiria na kanga za mkewe uwe mkubwa....
 
watakushangaa sana loh!
mbili ni haki yako kama sheria inavosema kama mali hizo amezipata mkiwa mshakaa wote mana wao hawaangalii nani kachuma bali alichuma alikwa na nani kwa wakati huo
tatu hata kama alichuma mwenyewe ni haki yako pia koz hata ww ulichangia hata msaada wa mawazo pia hata kama sio mali..... so unastahili
 
Mwanaume wa hivi akitokea akadai mie nitashauri mgawo wa chupi,pedi,sidiria na kanga za mkewe uwe mkubwa....
Duh! Unatisha mkuu, lakini vipi sheria inaruhusu mwanaume
kudai kama anavyodai mwanamke?
 
watakushangaa sana loh!
mbili ni haki yako kama sheria inavosema kama mali hizo amezipata mkiwa mshakaa wote mana wao hawaangalii nani kachuma bali alichuma alikwa na nani kwa wakati huo
tatu hata kama alichuma mwenyewe ni haki yako pia koz hata ww ulichangia hata msaada wa mawazo pia hata kama sio mali..... so unastahili
Si ndo haki sawa mkuu!
 
KAMA ni waislamu huruhisiwi..
ni mali za mke peke yake......
 
Haki sawa. Dai mali hizo. Kama wife alikuwa anaenda job inawezekana wewe ulikuwa unabaki home unakarangiza. Mmechuma wote kabisaaa.
 
Back
Top Bottom