Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Habari za jioni waungwana
Kabla sijafanya maamuzi haya, naomba kupata ushauri kutoka kwenu.
Nataka siku moja niingie mahakamani, hasa mahakama kubwa, nisikilize kesi na shughuli nyinginezo za mahakama.
Nimeona niulize kama inawezekana mtu yoyote kwenda kusikiliza kesi, je kuna taratibu za kufuata ili kupata ruhusa?
Naomba kujuzwa kama mtu yoyote anaruhusiwa kuhudhuria kesi kwani lengo langu ni kujifunza na kushuhudia shughuli za mahakama.