Je, naruhusiwa kwenda mahakamani kusikiliza na kutazama mienendo ya kesi mbalimbali?

Je, naruhusiwa kwenda mahakamani kusikiliza na kutazama mienendo ya kesi mbalimbali?

Unaruhusiwa ila uwe makini usije kuunganishwa na watuhumiwa maana wale askari wana uchu wa kukamatakamata
Alafu mda unakamatwa na kuunganishwa ukiwa unakataa unaonekana kama akili zimekuruka hvo hakimu atasema upelekwe gereji kwanza
 
Ikitokea hakimu nimempenda naweza kuomba namba pale mahakamani ndani?
 
Yah mkuu njoo pale Kisutu jumanne tar 08/10 09:00am nina kesi yangu pale jamaa amenishtaki nimlipe fidia kiasi cha pesa asichoweza kukiandika kwa maneno.

Ipo hatua ya ushahidi njoo unaweza uka-gain kitu.
 
Back
Top Bottom