Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Sawa Mkuu naamini tutapata Muongozo sahihiUnaruhusiwa kuhudhuria mahakami kusikiliza kesi mbali mbali ila jitahidi uzingatie utaratibu wao
Kama kupiga simu
Kupiga kelele
Ngoja waje mahakimu na wanasheria waendeleze muongozo.
Mkuu mimi nitaweka ukauzu mkali na hakuna atakaye jua matukio yangu 😂Unaruhusiwa na kama na ww wakikugundua uliwahi kufanya tukio bc wanakusomea mashitaka hapo hapo
Nikiwahi mapema sindiyo itakuwa vizuri zaidi?Nilienda kesi ya ubakaji, sikufanikiwa kuingia ndani kachumba ni kadogo sana wanakaa watu wa sheria tu kanajaa
Lini na wapi?Njoo kuna kesi ya mauaji
AhahahahahahaUnaruhusiwa na kama na ww wakikugundua uliwahi kufanya tukio bc wanakusomea mashitaka hapo hapo
Kachumba au ni ukumbi mkuuNilienda kesi ya ubakaji, sikufanikiwa kuingia ndani kachumba ni kadogo sana wanakaa watu wa sheria tu kanajaa
Uchinjwe xmas 😹😹😹Unaruhusiwa na kama na ww wakikugundua uliwahi kufanya tukio bc wanakusomea mashitaka hapo hapo
hahahahahahahahahahahahahahaha.......Unaruhusiwa na kama na ww wakikugundua uliwahi kufanya tukio bc wanakusomea mashitaka hapo hapo
Kwani hakimu na yeye si binadamu, atavumilia tu. Lakini ndymaana nimeuliza kama kuna taratibu za kuzingatiaAhahahah ila kuna watu huwa mnapenda tuu kujitafutia matatizo..
Assume umefika kule ukapata hali ya
Kucheka.
Kujamba unazani utaachwa wewe
Mkuu wee paache tu labda uwe mwanasheria..Kwani hakimu na yeye si binadamu, atavumilia tu. Lakini ndymaana nimeuliza kama kuna taratibu za kuzingatia
Unaruhusiwa ila uwe makini usije kuunganishwa na watuhumiwa maana wale askari wana uchu wa kukamatakamataHabari za jioni waungwana
Kabla sijafanya maamuzi haya, naomba kupata ushauri kutoka kwenu.
Nataka siku moja niingie mahakamani, hasa mahakama kubwa, nisikilize kesi na shughuli nyinginezo za mahakama.
Nimeona niulize kama inawezekana mtu yoyote kwenda kusikiliza kesi, je kuna taratibu za kufuata ili kupata ruhusa?
Naomba kujuzwa kama mtu yoyote anaruhusiwa kuhudhuria kesi kwani lengo langu ni kujifunza na kushuhudia shughuli za mahakama.
Mimi lazima niende, na siku nikienda ntapiga picha na kuleta mrejesho katika jukwaa hiliMkuu wee paache tu labda uwe mwanasheria..
Kuna mambo mengine ni ya kimazingra unafika pale unakuta umeanzisha vagi bila wewe kujua
Lazima niwe makiniUnaruhusiwa ila uwe makini usije kuunganishwa na watuhumiwa maana wale askari wana uchu wa kukamatakamata