Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,158 Reaction score 7,787 Jul 29, 2024 Thread starter #21 min -me said: Mbona unaruhusiwa mkuu๐ค Click to expand... Sawa Mkuu, itabidi nifanye hivyo siku za karibuni
min -me said: Mbona unaruhusiwa mkuu๐ค Click to expand... Sawa Mkuu, itabidi nifanye hivyo siku za karibuni
Fundi manyumba JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 3,799 Reaction score 8,063 Jul 29, 2024 #22 Faana said: Unaruhusiwa ila uwe makini usije kuunganishwa na watuhumiwa maana wale askari wana uchu wa kukamatakamata Click to expand... Alafu mda unakamatwa na kuunganishwa ukiwa unakataa unaonekana kama akili zimekuruka hvo hakimu atasema upelekwe gereji kwanza
Faana said: Unaruhusiwa ila uwe makini usije kuunganishwa na watuhumiwa maana wale askari wana uchu wa kukamatakamata Click to expand... Alafu mda unakamatwa na kuunganishwa ukiwa unakataa unaonekana kama akili zimekuruka hvo hakimu atasema upelekwe gereji kwanza
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Jul 29, 2024 #23 Lamomy said: Uchinjwe xmas ๐น๐น๐น Click to expand... Nisameheni wakuu
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jul 29, 2024 #24 Fundi manyumba said: Alafu mda unakamatwa na kuunganishwa ukiwa unakataa unaonekana kama akiki zimekuruka hvo hakimu atasema upelekwe gereji kwanza Click to expand... ๐คฃ
Fundi manyumba said: Alafu mda unakamatwa na kuunganishwa ukiwa unakataa unaonekana kama akiki zimekuruka hvo hakimu atasema upelekwe gereji kwanza Click to expand... ๐คฃ
Emmanuel gubabu Member Joined Sep 24, 2024 Posts 13 Reaction score 28 Sep 30, 2024 #25 Mbaga Jr said: Unaruhusiwa na kama na ww wakikugundua uliwahi kufanya tukio bc wanakusomea mashitaka hapo hapo Click to expand... ๐๐๐๐๐๐
Mbaga Jr said: Unaruhusiwa na kama na ww wakikugundua uliwahi kufanya tukio bc wanakusomea mashitaka hapo hapo Click to expand... ๐๐๐๐๐๐
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Oct 3, 2024 #26 Ndio
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Oct 6, 2024 #27 Unaruhisiwa
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Oct 6, 2024 #28 Ikitokea hakimu nimempenda naweza kuomba namba pale mahakamani ndani?
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 6,108 Reaction score 21,140 Oct 6, 2024 #29 Yah mkuu njoo pale Kisutu jumanne tar 08/10 09:00am nina kesi yangu pale jamaa amenishtaki nimlipe fidia kiasi cha pesa asichoweza kukiandika kwa maneno. Ipo hatua ya ushahidi njoo unaweza uka-gain kitu.
Yah mkuu njoo pale Kisutu jumanne tar 08/10 09:00am nina kesi yangu pale jamaa amenishtaki nimlipe fidia kiasi cha pesa asichoweza kukiandika kwa maneno. Ipo hatua ya ushahidi njoo unaweza uka-gain kitu.