Tetesi: Je, Naseeb Abdul "Diamond Platnum" kabadilisha dini?

WanaJF: Kufuatia muonekano wa picha
hapo chini nataka kujuwa kama huyu bwana mdogo Kesha badilisha Dini au ni mihemuko tu ya ujana ....???

Sent from my SM-N915G using JamiiForums mobile app
Sioni shida hata akihama dini, utakuwa mwendelezo tu wa kuzidi kuzihama dini zetu kama vile wewe ulivyoihama dini ya mababu zako na kuhamia dini za Waarabu na Wayahudi, shame!!
 
Kwa haya matatoo aliyojichora alishaihama dini bila yeye kujijua,
Dini ni imani na matendo,dogo ameamua kuchagua maisha ya duniani zaidi.
 
Ukisoma bandiko langu utaona hakuna sehemu yeyote niliyotamka Ukristo unaendena na hayo ayafanyayo. Hakuna dini inayohubiri uhalifu, uzinzi na uasherati. Kama nilivyosema hapo awali huyu bwana mdogo hajitambui yeye ni dini gani
Ok.

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Nimekuelewa sana mkuu,great thinker.
 
Diamond hakuvaa hizo kitu ni editing tu... hawezi na hatoweza.. nachomkubali hata kama muhuni kiac gani lkn suala la kuheshimu alama za dini yake haachi..

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Katika uislam mwanaume haruhusiwi kuvaa dhahabu..

Katika uislam kujichora tatoo ni haram ...

Kuzini ni haramu

Mambo anayoyafanya si ya kiislam sishangai kuvaa misalaba ...

Hakika huyu kijana ni moja kati ya watu waliopotea ...
Upo sahihi kabisa mkuu,huyo kijana uislamu wake umebaki kwenye jina tu.
 
Hilo ni vazi la kiafrika.

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Mkuu angalia video yake mpya aliyotoa siikumbuki jina ila ndo hizi shots zimetoka humo.
Diamond hakuvaa hizo kitu ni editing tu... hawezi na hatoweza.. nachomkubali hata kama muhuni kiac gani lkn suala la kuheshimu alama za dini yake haachi..

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app

Sent from my G630-U10 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu angalia video yake mpya aliyotoa siikumbuki jina ila ndo hizi shots zimetoka humo.

Sent from my G630-U10 using JamiiForums mobile app
Duh asee niko kolomije so nimeicheki... jamaa kajivalia kweli... anyway... siri ya kuvaa anaijua yy... lkn kwa mujibu wa dini yake anajua pia...

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Duh asee niko kolomije so nimeicheki... jamaa kajivalia kweli... anyway... siri ya kuvaa anaijua yy... lkn kwa mujibu wa dini yake anajua pia...

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Iv kweli kolomije kuna mwisilam au umelogwa nambie upo kolomije kitongoji cha mwana nan?

Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama kabadilisha dini.Symbol ya msalaba ni makhsusi kwa dini ya kikristo na ina hadhi yake.Niwaombe ndugu zangu tusifanye dhihaka na vitu hivyi vya kidini....twaweza okota makopo tukidhani tumelogwa kumbe......
Vip kwa wasabato tuwaweke kundi lipi japo wao ni kristo lkn hawaamin kwenye msalaba. Nifafanulie mkuuu
 
Watu wana dini ya kupiga pesa, washashtuka hizi dini uongo na Mungu hayupo.

Hawawezi kusema wazi, lakini matendo yao yanapiga kelele sana kusema hilo.
 
Anapelekwa na upepo wa dunia namna unavyovuma ndivyo anavyozidi kupoteza dira ya nafsi na kufanya asiitambue kesho yake

Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
 
Vip kwa wasabato tuwaweke kundi lipi japo wao ni kristo lkn hawaamin kwenye msalaba. Nifafanulie mkuuu
Ukweli sifahamu....mimi ni Muislam na nina heshimu dini zote na sipendi kabisa tena kabisa mtu kutokuheshimu dini ingine na pia sipendi malumbano ya dini.
 
Acha kupotosha. Soma maandiko uelewe.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…