Tetesi: Je, Naseeb Abdul "Diamond Platnum" kabadilisha dini?

Tetesi: Je, Naseeb Abdul "Diamond Platnum" kabadilisha dini?

Watz tunapenda sn kujadili personalities za watu. Mda huu kwann tusiutumie kufanya mambo yenye tija kwetu. Akienda kujisaidia choo cha shimo mtamjadili tena? Simpletons.

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Sio kosa lake yawezekana malezi yamemfanya hata ashindwe kufahamu misingi ya dini na mipaka yake. Nionavyo huyo wala hajitambui yuko dini gani.
Hata kama angejitanabaisha kama Mkristo, hakuna Mkristo halisi anayeweza kufanya yale wanayofanya wanamuziki wa secular music!

Kwa mfano mmomonyoko wa maadili, uhalifu, uzinzi na uasherati vinakuzwa na wasanii hao na ni kinyume cha mafundisho ya Biblia Takatifu.

Inashangaza kuna watu wakiona watu maarufu kama diamond yuko ktk dini yao wanaona kama inawanufaisha sana!

Ndugu zangu dini/imani ni zaidi ya hivyo mnavyovidhania!

Labda kuna dini zinazosema kuwa inawezekana kuwatumikia maBwana wawili ILA SI KWA UKRISTO!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
WanaJF: Kufuatia muonekano wa picha
hapo chini nataka kujuwa kama huyu bwana mdogo Kesha badilisha Dini au ni mihemuko tu ya ujana ....???

96bb571997a11a71e91ca758ea32b415.jpg

ee964e337fe1edba7035b6c1b837ffb5.jpg

Sent from my SM-N915G using JamiiForums mobile app
Kwahiyo unamaanisha kuwa ukamilifu wa ukristo ni kuvaa msalaba si ndio ???
 
Kwa Yesu Kristo kila goti litapigwa

Mkuu
Bujibuji nakuhakikishia kuwa Yesu Kristo hahusiki na MISALABA. MSALABANI walitundikwa watu wenye matatizo, watu wenye laana, wasiofaa. Hivyo,wayahudi waliamini ndo kushusha hadhi ya Yesu. Nakuhakikishia kuwa, Yesu hakuhesabu msalaba kuwa kitu chema. Ndiyo maana akasema, "...ajitwike msalaba wake anifuate...". Yesu ndiye atakutua hilo li msalaba, maana ni kitu kisichofaaa
 
Kuvaa kitu shingoni naonaga kama mzigo
ID tag tu ilinishinda kuvaa
 
Hiyo fasheni tu

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Umaarufu, kazi kweli kweli

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Waislam wanaamini Yesu kuliko Wakristo Tatizo Wakristo Humuita Yesu Mungu hapo ndipo Tofauti... huo msalaba ni utawala wa Roma ulikuwa kitumika adhabu kwa mkosaji chini ya himaya yao ili kuwatia khofu watawaliwa. Msalaba hauna Dini na wala hauabudiwi kidini
 
Hela haina kazi amechonga ya kila aina mpaka katamani msalaba. Ingekuwa mkisto katumia alama yao wanajua dini pangechimbika.
 
ujana tu na ulibwikena na kuiga hata akielewa atachukulia poa tu

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama angejitanabaisha kama Mkristo, hakuna Mkristo halisi anayeweza kufanya yale wanayofanya wanamuziki wa secular music!

Kwa mfano mmomonyoko wa maadili, uhalifu, uzinzi na uasherati vinakuzwa na wasanii hao na ni kinyume cha mafundisho ya Biblia Takatifu.

Inashangaza kuna watu wakiona watu maarufu kama diamond yuko ktk dini yao wanaona kama inawanufaisha sana!

Ndugu zangu dini/imani ni zaidi ya hivyo mnavyovidhania!

Labda kuna dini zinazosema kuwa inawezekana kuwatumikia maBwana wawili ILA SI KWA UKRISTO!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
Ukisoma bandiko langu utaona hakuna sehemu yeyote niliyotamka Ukristo unaendena na hayo ayafanyayo. Hakuna dini inayohubiri uhalifu, uzinzi na uasherati. Kama nilivyosema hapo awali huyu bwana mdogo hajitambui yeye ni dini gani
 
WanaJF: Kufuatia muonekano wa picha
hapo chini nataka kujuwa kama huyu bwana mdogo Kesha badilisha Dini au ni mihemuko tu ya ujana ....???

96bb571997a11a71e91ca758ea32b415.jpg

ee964e337fe1edba7035b6c1b837ffb5.jpg

Sent from my SM-N915G using JamiiForums mobile app
 
Katika uislam mwanaume haruhusiwi kuvaa dhahabu..

Katika uislam kujichora tatoo ni haram ...

Kuzini ni haramu

Mambo anayoyafanya si ya kiislam sishangai kuvaa misalaba ...

Hakika huyu kijana ni moja kati ya watu waliopotea ...
 
Back
Top Bottom