Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hizo cheni ni dini gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama angejitanabaisha kama Mkristo, hakuna Mkristo halisi anayeweza kufanya yale wanayofanya wanamuziki wa secular music!Sio kosa lake yawezekana malezi yamemfanya hata ashindwe kufahamu misingi ya dini na mipaka yake. Nionavyo huyo wala hajitambui yuko dini gani.
Kwahiyo unamaanisha kuwa ukamilifu wa ukristo ni kuvaa msalaba si ndio ???WanaJF: Kufuatia muonekano wa picha
hapo chini nataka kujuwa kama huyu bwana mdogo Kesha badilisha Dini au ni mihemuko tu ya ujana ....???
![]()
![]()
Sent from my SM-N915G using JamiiForums mobile app
Kwa Yesu Kristo kila goti litapigwa
Kifupi kabisa hakuna msalaba ambao Yesu anauona ni mwema. Ni kitu kisichofaa. Ni zigo mfano la dhambiSio kila msalaba unamuhusu Yesu Kristo.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Well said broKwa Yesu Kristo kila goti litapigwa
Ukisoma bandiko langu utaona hakuna sehemu yeyote niliyotamka Ukristo unaendena na hayo ayafanyayo. Hakuna dini inayohubiri uhalifu, uzinzi na uasherati. Kama nilivyosema hapo awali huyu bwana mdogo hajitambui yeye ni dini ganiHata kama angejitanabaisha kama Mkristo, hakuna Mkristo halisi anayeweza kufanya yale wanayofanya wanamuziki wa secular music!
Kwa mfano mmomonyoko wa maadili, uhalifu, uzinzi na uasherati vinakuzwa na wasanii hao na ni kinyume cha mafundisho ya Biblia Takatifu.
Inashangaza kuna watu wakiona watu maarufu kama diamond yuko ktk dini yao wanaona kama inawanufaisha sana!
Ndugu zangu dini/imani ni zaidi ya hivyo mnavyovidhania!
Labda kuna dini zinazosema kuwa inawezekana kuwatumikia maBwana wawili ILA SI KWA UKRISTO!
LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
WanaJF: Kufuatia muonekano wa picha
hapo chini nataka kujuwa kama huyu bwana mdogo Kesha badilisha Dini au ni mihemuko tu ya ujana ....???
![]()
![]()
Sent from my SM-N915G using JamiiForums mobile app