Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Hakuna ubishi kuwa Mr Nigel Farage anafanya kampeni ya uchaguzi mkuu ambao utafanyika kesho - 12/12/2019 ndani ya jengo la kanisa. Architecture ya jengo hilo ni ya kanisa. Wamefikia hapo baada ya wengi kuelimika na tech kupanda na demokrasia kukuwa.
Je, nasi tutafika huko na haya makanisa makubwa tunachangishwa kuyajenga? Kwa nini hizo hela za kujenga makanisa makubwa zinazofikia bilioni moja tusiboreshe huduma kama elimu na afya?
Je, nasi tutafika huko na haya makanisa makubwa tunachangishwa kuyajenga? Kwa nini hizo hela za kujenga makanisa makubwa zinazofikia bilioni moja tusiboreshe huduma kama elimu na afya?