Go and read your Bible.Hakuna ubishi kuwa Mr Nigel Farage anafanya kampeni ya uchaguzi mkuu ambao utafanyika kesho - 12/12/2019 ndani ya jengo la kanisa. Architecture ya jengo hilo ni ya kanisa. Wamefikia hapo baada ya wengi kuelimika na tech kupanda na demokrasia kukuwa.
Je, nasi tutafika huko na haya makanisa makubwa tunachangishwa kuyajenga? Kwa nini hizo hela za kujenga makanisa makubwa zinazofikia bilioni moja tusiboreshe huduma kama elimu na afya?
Uwe unasoma alafu unaelewa abdoolMakanisa mengi Ulaya yamegeuzwa bar, museum, supermarket, warehouses, etc. Hilo litafika kwetu kuanzia miaka 40 hivi ijayo. Lakini kwa makanisa madogo madogo hata sasa tayari mengine yameshageuzwa kumbi za mikutano.
Architecture ya jengo hilo ni ya kanisa.