Je, nastahili pongezi kwa haya niliyofanya?

Unastahili pongezi kubwa sana , na ninaamini kupitia wazo lako masponsor wengine watapatikana katika kukusupport kwa kupanda tenda zingine
 
Binafsi nakupongeza sana, kwasababu naamini ukipata kazi ambayo unaifurahia kutoka moyoni na haikuchoshi basi umepiga hatua kubwa sana kimaisha.

Na kwa haya maelezo yako inaonekana umepata kazi hiyo.
 
Hongera sana kaka, natamani siku moja nami nifanye jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…