Je, naweza badili matumizi ya monitor ya computer na kuitumia kama screen ya kawaida na kuiunganisha na king'amuzi?

Swali langu ni hilo tu, sina mengi. Awali ya yote natoa shukurani kwa watakaochangia.
Ndio,

Diego Cevallos ,

unaweza kutumia monitor ya computer kama screen ya kawaida, ila inabidi uhakikishe kama ina HDMI port au VGA. Kama monitor yako ina HDMI, mambo fresh, unachukua HDMI cable unaunganisha na king'amuzi direct. Kama ina VGA tu, utahitaji kununua adapter ya VGA to HDMI ili uunganishe king'amuzi kwenye monitor. Lakini kumbuka, monitors nyingi hazina spika, so sauti inabidi utumie external speakers au headphones.

Kama monitor ina HDMI, ni rahisi sana bro, just plug and play
.
 
Aaah kumbe rahisi tuu, mtoa mada atakuwa kaelewa
 
Nyongeza ya hapo, monitor imetengenezwa mtumiaji aweze kusoma details hata ndogo ila akiwa karibu.

TV screen yake imetengenezwa mtumiaji aweze kuona details akiwa mbali kidogo. Hivyo ukiweka monitor kama mbadala wa TV jua fika hutoitumia vizuri sebuleni, na wale wanaotumia TV kuchezea games kama PS yale sio matumizi yake sahihi si ajabu macho kupata shida uko mbeleni.
 
Mimi huwa natumia sana PC kwa muda mrefu hadi najihurumia, huwa nawaza huenda baada ya miaka 3 macho yatapata shida. Maana siku hizi hata nikiamka asubuhi nikinawa uso macho yanawasha na kuwa mekundu
 
PC ina unafuu kwa madhara kuliko TV ikiwq karibu. Na haujihurumii, maana huchukui hatua.
Nunua miwani ya kupunguza miale ya mwanga (blue right glasses)
 
Inawezekana na kwakua unajidai bahili sana nitakuelekeza na namna ya kufanya keyboard kuwa kinanda
Hiyo naitumia sana (keyboard kuwa kinanda) kwa kutumia software ya Fl Studio na Ableton Live 🤣🤣🤣
 
Mimi huwa natumia sana PC kwa muda mrefu hadi najihurumia, huwa nawaza huenda baada ya miaka 3 macho yatapata shida. Maana siku hizi hata nikiamka asubuhi nikinawa uso macho yanawasha na kuwa mekundu
Macho kukuwasha asubuhi inategemea unalala saa ngapi

Ukilala masaa ya kutosha hii haiwezi kukutokea mkuu
 
Back
Top Bottom