KWANINI UCHANGANYE?Msaada, hivi naweza maliza mechanical engineering diploma nikaenda soma civil engineering nakuwa nachanganya civil engineering pamoja na mechanical engineering katika kazi uombaji.
Utakuwa kichaaMsaada, hivi naweza maliza mechanical engineering diploma nikaenda soma civil engineering nakuwa nachanganya civil engineering pamoja na mechanical engineering katika kazi uombaji.
Mechanical engineering diploma degree nataka civil engineeringUnaweza kwenda Civil Engineering
Ulisomea nini kwenye hiyo Diploma
Weka course content yake tukushauri
Asante sana nimekuelewaNijuavyo. Baadhi ya vyuo vina option course.
Kama kichwa chako ni cha MOTO opt kozi za msingi za hio civil au mechanical ili uweze walau kutambulika. Kuna dhana ya double major. Jaribu kufuatilia hii double major.
Angalizo, ukichagua kozi nyingi zaidi ya UNIT 36 unaweza ukaelemewa au ukapiga FLAT c au FLAT B PLAIN hii inaweza kushusha GPA yako. GPA chini ya 3 huwezi soma master na GPA chini ya 3.7 huwezi kuwa lecturer.
Kwa hio fany
a rational decisions.