Je, naweza changanya mechanical engineering na civil engineering?

philmkoji

New Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
3
Reaction score
4
Msaada, hivi naweza maliza mechanical engineering diploma nikaenda soma civil engineering nakuwa nachanganya civil engineering pamoja na mechanical engineering katika kazi uombaji.
 
KWANINI UCHANGANYE?

CHAGUA MOJA #
kazi kweli kweli
 
Unaweza kwenda Civil Engineering
Ulisomea nini kwenye hiyo Diploma
Weka course content yake tukushauri
 
Nijuavyo. Baadhi ya vyuo vina option course.
Kama kichwa chako ni cha MOTO opt kozi za msingi za hio civil au mechanical ili uweze walau kutambulika. Kuna dhana ya double major. Jaribu kufuatilia hii double major.
Angalizo, ukichagua kozi nyingi zaidi ya UNIT 36 unaweza ukaelemewa au ukapiga FLAT c au FLAT B PLAIN hii inaweza kushusha GPA yako. GPA chini ya 3 huwezi soma master na GPA chini ya 3.7 huwezi kuwa lecturer.
Kwa hio fany
a rational decisions.
 
Asante sana nimekuelewa
 
Msingi mkubwa wa Mechanical na Civil Engineering ni structural mechanics
Kwa hiyo mwanzoni zinaingiliana, kama mwaka wa kwanza unakuta mechanical na civil wanasoma vitu vile vile.
Kama umepasi vizuri hio diploma ya mechanical unaweza kuomba digrii ya civil
 
Back
Top Bottom