Je, naweza ku update Android mpya kutoka kwenye android 7.0?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Swali langu ni hili wakuu:

Naweza kuweka Android mpya version iliyotoka kwenye simu ya Android 7.0 mfano tecno wx4 na kadhalika?

Na je, system ya simu yako ikiwa inataka ufanye update update inakuja ikiwa features gani? Interface, UI?
 
Mkuu tecno si rafiki wa simu zinazopata updates, official ni ngumu kuzipata hizo updates na hata un official hakuna community ya kutosha kuzi mod.

Kama unataka ku enjoy hayo mambo zipo simu rafiki hasa zinazokuja na unlocked bootloader
nitajie majina ya simu hizo tafadhali mkuu
 
Samsung flagship zao zote bootloader ipo unlocked ila jiepushe na samsung ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya mitandao ya marekani/china/korea hizi huwa ni pasua kichwa.

Oneplus pia zinakuwa na community kubwa na pia unaweza ku unlock bootlodear (sema inafuta kila kitu)

Simu za Google hizi pixel

Xiaomi za ulaya Kama Mi A3 na A series nyengine.

Motorola hizi G series

Sema Oneplus nairecomend zaidi sababu itakupa advantage nyengine kama Ram na storage kubwa, ambazo ni future proof.
 
shukrani mkuu kuna jamaa aliniambia Kama wewe hivi hivi eti tecno ukifanikiwa kui update version inaanza matatizo Kama vile kujikata simu ikipigwa je ni kweli?
 
Inategemea na hio update yenyewe mkuu, inaweza tokea hivyo ama isitokee. Hata hizo kampuni kubwa sometime wanaweza tuma updates zikaharibu vitu fulani kwenye simu. Sema baadae hutuma tena updates na kufix.
 
asante je update yenyewe feature zake mara nyingi ni kama zipi? Interface je?
 
Chief-Mkwawa samahani kwa kusandia mada.
Nina simu ya ITEL31 nataka nifanye kuUPDATE SOFTWARE ili nipate matoleo mpya.
Je inawezekana?
amesema haya matoleo ya mchina ni mizinguo tuu.. inaweza kukubali au ikazingua au unakuta update yenyewe ina feature chache tuu amna cha maana
 
asante je update yenyewe feature zake mara nyingi ni kama zipi? Interface je?
Kuna updates ndogo ndogo na update kubwa. Update kubwa ndio zinaweza kubadili hadi muonekano ila ndogo inafix tu vitu kama security na mambo mengine usiyoyaona kwa macho.

Ila kama shida ni kubadili muonekano Nova launcher inakuwa na muonekano wa latest Android.
 
hiyo nova launcher ipo play store?
 
Wakuu hivi ukisema flagship unakuwa unamaanisha simu ya kuanzia sh ngap mpaka sh ngap maana mi nabaki njia panda je simu kuanzia 380k kuendelea nayo ni flaship ay ni kuanzia 400k, 500k au naombeni mnitoe ushamba leo
Samsung flagship zao zote bootloader ipo unlocked ila jiepushe na samsung ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya mitandao ya marekani/china/korea hizi huwa ni pasua kichwa.

Oneplus pia zinakuwa na community kubwa na pia unaweza ku unlock bootlodear (sema inafuta kila kitu)

Simu za Google hizi pixel

Xiaomi za ulaya Kama Mi A3 na A series nyengine.

Motorola hizi G series

Sema Oneplus nairecomend zaidi sababu itakupa advantage nyengine kama Ram na storage kubwa, ambazo ni future proof.
 
Wakuu hivi ukisema flagship unakuwa unamaanisha simu ya kuanzia sh ngap mpaka sh ngap maana mi nabaki njia panda je simu kuanzia 380k kuendelea nayo ni flaship ay ni kuanzia 400k, 500k au naombeni mnitoe ushamba leo
Flagship ni simu nzuri kushinda zote ya manufacture husika kwa huo muda.

Na ukiwa unachagua simu neno flagship halina maana saana bali unatakiwa uangalie uwezo wa simu.

Kwa makampuni makubwa kama samsung, Oneplus, Xiaomi, Oppo etc flagship zao zinakuwa na na specification za kisasa ila baadhi ya kampuni ndogo flagship zao zinakuwa na specs ndogo vile vile.
 
Ok kwa.mfano kwa sasa Samsung wana simu ipi ya flagship
Flagship ni simu nzuri kushinda zote ya manufacture husika kwa huo muda.

Na ukiwa unachagua simu neno flagship halina maana saana bali unatakiwa uangalie uwezo wa simu.

Kwa makampuni makubwa kama samsung, Oneplus, Xiaomi, Oppo etc flagship zao zinakuwa na na specification za kisasa ila baadhi ya kampuni ndogo flagship zao zinakuwa na specs ndogo vile vile.
 
Wakuu vp hapo nikiweka on hiyo bootloader simu itaweza kufunguliwa na baadhi ya vifungo hata kama cjaroot!? Je kutakuwa na tatizo lolote maana naona hapo wameniambia kuwa haitakuwa na ulinzi sasa cjui ni ulinzi upi wanauumanisha ambao haitakuwa nao naombeni mnijuze au ni iache tu hivo hivo nisiiweke on
Screenshot_20200221-195323_Settings.jpeg
 
Wakuu vp hapo nikiweka on hiyo bootloader simu itaweza kufunguliwa na baadhi ya vifungo hata kama cjaroot!? Je kutakuwa na tatizo lolote maana naona hapo wameniambia kuwa haitakuwa na ulinzi sasa cjui ni ulinzi upi wanauumanisha ambao haitakuwa nao naombeni mnijuze au ni iache tu hivo hivo nisiiweke onView attachment 1365358
Bootloader kama jina lake lilivyo yenyewe inahusika na software wakati unapowasha simu, ikiwa locked ina maana software toka kwa mtengeneza simu tu ndio itatumika ila ikiwa unlocked utaweza tumia software (custom rom) mbalimbali toka kwa developers wengine tofauti na mtengeneza simu.

Kama huna matumizi yanayotaka bootloader iwe unlocked iache tu usii unlock.
 
Back
Top Bottom